Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Aisee wew ni kiboko story toka 2017 mpaka leo tunaelekea mwishoni mwa 2022, bado haijaisha

Yaani mwaka 5 unaenda wa 6 ni story yako tu [emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
 
Nadhani jamaa kaishaoa xhosas huko cape town na ana watoto kabisa I mean miaka mitano[emoji23][emoji23]
 
Yaani hii stori ni kiboko, nilikua na mpango wa kwenda ku survey Botswana Gaborone au Zambia Lusaka nione kama na weza kupiga pesa kwa namna yeyote ile ya halali mwezi December nikiwa likizo ni kipindi kizuri cha kudhurula kusoma mazingira watu wana ishije huko kwingineko

ilinijue kama ina wezekana au la nirudi bongo, hii story ina nitia moyo na kuniogopesha sana na leo ndio siku ya kwanza kuuona huu uzi aisee ni kisanga [emoji119][emoji16][emoji482]
 
Aisee wew ni kiboko story toka 2017 mpaka leo tunaelekea mwishoni mwa 2022, bado haijaisha

Yaani mwaka 5 unaenda wa 6 ni story yako tu [emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
✍️✍️✍️✍️✍️✍️
 
Back
Top Bottom