Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Nimekupa like nitag mkuu
 
Nimesafiri njia hiyo nikienda Cape town, kwa jinsi mtoa mada anavyoelezea sehemu tofauti na wakati/Saa waliotumia kufika hizo sehemu, mtoa yuko sahihi, ni kweli....

Mtoa mada endelea na story yako usikatishwe tamaa na watu ambao hawana ndoto hata za kufika Zanzibar kwa uwoga tu!

Keep it up...
Unajitahidi kwenye story teller!
Binafsi nafatilia Uzi wako, so utani tag kwa #3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…