Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Heeee kumbe ni kijana mdogo hivyo
 
Eti acts!!
Hakuna recent court ruling inayofuta hivyo vifungu

Aache uongo
Duh, hujui kitu Kaa kimya kwani mahakama ndoinafanya ammendment ya sheria za makosa ya jinai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom