Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Unique Flower njoo kuna wakufanana na wewe huku, I gues mtakuwa na chemistry nzuri sana 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpwayungu village ndiyo anayetaka tumchukulie serious wakati anendekeza uongo mwingiUnamchukulia mpwayungu village siriaz?
Nipe abc za huyo@Unique FlowerUnique Flower njoo kuna wakufanana na wewe huku, I gues mtakuwa na chemistry nzuri sana 😂😂
Ni kijijini sana napajua njia ya Iringa, mwambie hadi kwa Malecela naendaga sio kijijini kwake namaanisha nyumbani kwake kabisaUkifika usisahau kupiga na picha
HapanaUshawai tumia dawa zakishirikina (uganga?
I wish nikuone siku moja...ulivyo siriaz hivi😂😂😂Umeniita?
Ramadhan Mubarak
Choko hajawahi kuwa siriaziUnamchukulia mpwayungu village siriaz?
Ukifika upatrace mpaka kwao Ili tukate mzizi wa fitinaNi kijijini sana napajua njia ya Iringa, mwambie hadi kwa Malecela naendaga sio kijijini kwake namaanisha nyumbani kwake kabisa
Basi apunguze shobo Kwa walimuChoko hajawahi kuwa siriazi
1997
Yaani wewe pichu siwez kukuvulia just in case
Wewe una fani Gani!?Mpwayungu ni kijiji, bora wafundishe watu wa fan zingine ila sio mwalimu. Bora biology afundishe daktari, kiswahili wafundishe bakita,.. Nk
Unakumbuka alisemaga kaka yake mchawi🤣🤣🤣🤣 kuna watu hamjamfuatilia😆😆😆Ukifika upatrace mpaka kwao Ili tukate mzizi wa fitina
Daahhh...baasi kumbe ndo maanaa unatamani uanamkeHawana hatia, let them use themselves. Their bodies is not yours let them use their body will not affect you either negatively or positively
Kuna wakati unasoma post au comment ya mdau Kisha unabaki mdomo wazi Nini hiki mtu ameandika, kumbe umri wake umemtuma hivyo
Tumtafute mwalimu wake wa darasa kwani hakuna mwana jf aliyetokea huko tuwasiliane na serikali za mitaa ili tuokoe wimbi hili la vijana?Huyu kasoma pale pale mpwayungu primary
Kaka yake yupi huyo wakati amesema ana dada wawili!?Unakumbuka alisemaga kaka yake mchawi🤣🤣🤣🤣 kuna watu hamjamfuatilia😆😆😆
Kwao kasoma yeye tu na ni MwalimuBasi apunguze shobo Kwa walimu
Tutakuwa tumemsaidia,hata akitushinda Mirembe siyo mbaliTumtafute mwalimu wake wa darasa kwani hakuna mwana jf aliyetokea huko tuwasiliane na serikali za mitaa ili tuokoe wimbi hili la vijana?