Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Unataka kuanzia wa mwaka gani? 😅😅😅1997
Yaani wewe pichu siwez kukuvulia just in case
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuanzia wa mwaka gani? 😅😅😅1997
Yaani wewe pichu siwez kukuvulia just in case
Na hajapata ajira mpaka sasa ndio maana anauchukia ualimu😂Umemaliza ualimu mwaka gani? Kwa huo mwaka umezaliwa utakua umemaliza 2020
Safi saba hii ni mali yetu sisi wazee😂😂1997
Yaani wewe pichu siwez kukuvulia just in case
Ndio na mimi nikatoa mawazo yangu au nimekosea mkuu?
Shida ya mpwayungu village ni uongo na kumbukumbu fupi ya kile alichokisema huko nyumaMwanasheria wa wapi alikimbia Lindi kutafuta shule ya kufundisha? Amelele sana kwa mama ntilie. Amshukuru sana jamaa aliyesema imeisha hiyooo
Barikiwa sana mkuuHaujakosea Kapten. Tuko pamoja na bila shaka sijakukwaza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nivulie Mimi basi,miye wa 1996
Akitaka amani yeye ndo abadikishe idKwendaaaa nina ID nyingine ntarudi nikifugiwa.
Acha mods wasali
Yaani katoto sanaaaaSasa mtoto wa 1997 nimuulize kitu gani?
Punguza au acha kabisa uongo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu hawa watu hawafai kupata hata watoto, jazba zao wapeleke Facebook na hili kosa akun'gutwe permanent ban
Upo sahihi dogoKama Kuna Sehemu masikini Tanzania Dodoma jamani kaahhh...watu wanakunywa Maji machafu ya Ndo wanakunywa yaani dahh
Poleni Sana Wana mpwayungu
Huyu kasoma pale pale mpwayungu primaryShule ya msingi uliyosoma inaitwaje...ili tumtafute huyo mwl aliyekuumiza ki-saikolojia.?
Je baada ya kukosa kazi ya ualimu,je unajishughulisha na nini maana "An idle mind is devil's workshop"
Anavyowachukia wenye taaluma yako sasa😂Yaani katoto sanaaaa
Hakajui ht maisha
Nipo DODOMA mkuu ataje shule niende sasa hivi😅😅😅Huyu kasoma pale pale mpwayungu primary
Siwez kuwa mwalimu bora niuwaweNa hajapata ajira mpaka sasa ndio maana anauchukia ualimu[emoji23]
Unamchukulia mpwayungu village siriaz?Nipo DODOMA mkaa ataje shule niende sasa hivi😅😅😅
Ukifika usisahau kupiga na pichaNipo DODOMA mkaa ataje shule niende sasa hivi😅😅😅
Mpwayungu ni kijiji, bora wafundishe watu wa fan zingine ila sio mwalimu. Bora biology afundishe daktari, kiswahili wafundishe bakita,.. Nk1.Nini maana ya mpwayungu.?
2. In case watu wakaacha kusomea ualimu shule atafundusha Nani?