Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #481
Sipo tayari, nilitamani KUZALIWA mwanamke elewa maana ya kuzaliwa (sio kubadili jinsia)..Mkuu mpwayungu village; kwakuwa unatamani ungezaliwa jinsia ya kike, na kwakuwa hilo tamanio lako bado linawaka kwenye mtima wako, je, upo tayari ku undertake trans gender?
Utakua hujakutana na dumas the terrible wewe bi mkubwa1997
Yaani wewe pichu siwez kukuvulia just in case
SikatazwiUnaweza kunitumia shilingi alfu kumi?
[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna mwanasheria hapaTheir bodies are not yours,let them use their bodies,will not affect you either negatively or positively
Ndugu mwanasheria kiingereza ni lugha tamu sana
100🤣🤣🤣 taja umri sasa
OkayNiwewaambia mm sio Tajiri, Nina maisha ya kawaida tu kipato changu Kwa mwez hakizidi million mbili
Acha matusi...niulize nilikuwa nasoma shule gani sio kuzaliwaMkuu acha dharau kwa watoto.
Kwani wewe ni mtoto wa tisini na ngapi mkuu?
Kuna wakati mpwayungu village anakomaa na mimi hata kuongea vijineno sawa na tusi kumbe ni mdogo kwa mdogo wangu wa mwisho...oooh lalaa jf jfFrom now onward uwe unaniamkia ndipo ugonge Like
Hujutii kwa icho ulichokiwaza ama andiko lako mpaka sasa??Wanawake sio mashoga, hisia za mwanamke na hisia za shoga ni tofauti. Niliwaza bora ningezaliwa mwanamke (sio nijibadili jinsia) ili nipate fursa kama wanazopewa wanawake tofauti na ngono
SijutiiHujutii kwa icho ulichokiwaza ama andiko lako mpaka sasa??
Salamu ni muhimu hata kwa watotoKuanzia leo anza kua unanisalimia ndipo unani quote
Na hii inamanisha bado anautaka uanamkeHujutii kwa icho ulichokiwaza ama andiko lako mpaka sasa??
Kwa hiyo unendelea kuwa shoga mpaka pale babaake na Pentamycin atakapo uacha!?Mpaka baba ako atakapoacha
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997.
Ndugu Mchochezi ebu naomba unitag huu uzi ambapo mpwayungu village anakili kuwa yeye ni mwalimu huu uliouposti hapo juu
Utakesha sana kunifatilia nahutanijua mbwa wewe, ebu Fata maisha yako mkuu acha ukike