Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Siku hizi uchi unapatikana kirahisi Kwa bei chee kuliko Wali maharage Kwa mama bonge
Kweli value inapungua Mana supply Ni kubwa mno. Pia wanaume wenye uwezo wa pesa ama wenye maendeleo Ni wachache mno wawazao uchi ndio hao wanawake wanawataka na wao hawana interest nao kivile labda anachapa akijisikia Kama hamu ya kula chakula fulani
 
Kumbe ni dogo sana kiasi hiki wa 97 PUMBAVU Ukianzisha uzi uanze na SHIKAMOONI WAKUBWA😅

Kwanini mnamshambulia mpwayungu village wakati ameamua kuwa jasiri na kujitokeza hadharani kuruhisu aulizwe maswali yeyote kuhusu yeye?

Nafikiri ingefaa watu wakajikita zaidi kumuuliza maswali yeyote kama alivyoweka wazi kwamba atayajibu.
 
Walimu wamewahi kukukera nini hasa unawasimanga Sana tupe uzoefu
 
Je kwa umri uo wa 26 hauoni umri sahihi wa kuishi katika utakatifu na kuhubiri upendo na Haki
kumchukia Mwalimu hauoni ni utumwa wa fikra Mkuu?
Usilolijua ni usiku wa kisa.. Yupo mtoto alikataa kumtunza baba ake tukasema ana laana lakini siku alipotoa ushuhuda kanisani waumini wote walifunika nyuso zao, baada ya ibada walianza kuchimba kaburi mapema kuomba baba ake afe hata mda huo huo
 
Olevo nimesoma Dr salmin, advance nimesoma ifunda(PCM) chuo nimesoma Udom na udsm bachelor of science in physics na law respectively
Unataka kusema ulihitimu udom ndio ukaenda udsm na ulishahitimu law?
Hebu tueleze udom ulihitimu mwaka Gani na udsm..!!
Pia Kwa kuwa umesema upo tayari kufichua identification basi eleza shughuli zako za sasa na ulipo, then weka na picha kabisa...ikibidi ututajie na majina Yako yote!
 
Usilolijua ni usiku wa kisa.. Yupo mtoto alikataa kumtunza baba ake tukasema ana laana lakini siku alipotoa ushuhuda kanisani waumini wote walifunika nyuso zao, baada ya ibada walianza kuchimba kaburi mapema kuomba baba ake afe hata mda huo huo
Mimi nilikuwa Kama wewe na mshukuru sir God now nimepata kuokoka kutoka katika utumwa wa fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…