Niuluze chochote kuhusu utapeli

Niuluze chochote kuhusu utapeli

Ndiyo tabia zenu
IMG-20240306-WA0011.jpg
 
Utapeli wa viwanja hufanyikaje
Utapeli wa viwanja upo wa namna nyingi, leo nitakuelezea utapeli wa kata funua, huu hufanyika kwa watu wenye shida, yani mtu anakuja na shida ya laki 8 anaweka bond ya kiwanja, halafu anasuasua kurudisha fedha aliyokopa, wewe unachofanya unabadili hati na kuweka jina lako, unakuwa umenunua kiwanja kwa laki nane, au hata chini ya hapo maana wengine unakuta amesha kurudishia hata laki 8 ila riba hajaleta kwahiyo unampiga kata funua moja matata sana.
 
Hii kiboko
 
Je utapeli wa waganga hufanyikaje hasa wa mitandaoni
Kabla ya urapeli wa waganga ngoja nieleze huu wa kijinga
1. Watu wenye shida kubwa kama wagonjwa na mafukara
2. Watu wenye uchu wa mafanikio ya haraka.

Leo nitaelezea aina ya utapeli inaitwa 'kenge mweusi' huu ni utapeli ambao umelenga kukusanya sadaka toka kwa watu wenye akili finyu kama za kenge weusi wanaofikiri pesa inatafutwa kizembe, sasa hawa huandaliwa ndowano ambayo inawekewa chambo ili kuwavuta.

Mfano. Tapeli hutengeneza website au app ya kutoa mikopo kwa riba nafuu yaani unakuta tangazo linasepa kopa laki 5 kwa miezi 6, riba elfu 3 na miatano. Sasa kenge nyeusi zikiona hivi zinaclick na kujaza fomu kwenye fomu kunakuwa na sehemu ya namba ya simu.

Baada ya kusubmit, tapeli anapiga simu kukujulisha kuwa wamepokea fomu ya maombi na ndani ya nusu saa mzigo utasoma ila uutumie vizuri na ukifanya marejesho vizuri kiwango kitapanda zaidi, na unaweza kukopeshwa vitu vikubwa zaidi.

Baada ya muda unapigiwa simu ya pili na mdada anayesema yuko bank (ile uliyojaza) na kukufahamisha kuwa kuna fedha zimeingia kwenye acc yako ila wamezihold hivyo uende tawi lolote la karibu au utume 5000 ili wa activate zisome bila wewe kwenda.

Ndo umesha tapeliwa kenge wewe.
 
Back
Top Bottom