Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Serikali haiwezi kutapeli, matapeli ni mimi na wewe.Eti serikali inatapelije Wana nchi wake?
Na wananchi wajiepusheje?
Kwa taarifa yako mikataba mingi yenyepesa kama Richmond, DPW, Meremeta etc ni yakitapeli na matajiri walio nyuma yake ni matapeli.Angalia usiharibu kiti cha Shemeji yako hapo kwa Dada yako.
BOSS NA UTAPELI WAPI NA WAPI.
PambanaZaidi/CottonandMore
Utapeli wa viwanja hufanyikajeBoss la DP World niko hapa kujibu maswali yako. Nimekunja 4 hapa kwenye ofisi yangu ya kifahari najizungusha zungusha kwenye kiti changu wakati nikifikiri kuhusiana na michongo ya kuongeza ukwasi wangu kupitia watu wa Africa na rasilimali zao.
Karibuni.
Utapeli wa viwanja upo wa namna nyingi, leo nitakuelezea utapeli wa kata funua, huu hufanyika kwa watu wenye shida, yani mtu anakuja na shida ya laki 8 anaweka bond ya kiwanja, halafu anasuasua kurudisha fedha aliyokopa, wewe unachofanya unabadili hati na kuweka jina lako, unakuwa umenunua kiwanja kwa laki nane, au hata chini ya hapo maana wengine unakuta amesha kurudishia hata laki 8 ila riba hajaleta kwahiyo unampiga kata funua moja matata sana.Utapeli wa viwanja hufanyikaje
Acha kelele, kesho asubuhi njoo bandarini uanze kazi. Njoo na cv yako.Ni kweli Tanzania imetapeliwa bandari yake na mwarabu?
Hii kibokoUtapeli wa viwanja upo wa namna nyingi, leo nitakuelezea utapeli wa kata funua, huu hufanyika kwa watu wenye shida, yani mtu anakuja na shida ya laki 8 anaweka bond ya kiwanja, halafu anasuasua kurudisha fedha aliyokopa, wewe unachofanya unabadili hati na kuweka jina lako, unakuwa umenunua kiwanja kwa laki nane, au hata chini ya hapo maana wengine unakuta amesha kurudishia hata laki 8 ila riba hajaleta kwahiyo unampiga kata funua moja matata sana.
Kabla ya urapeli wa waganga ngoja nieleze huu wa kijingaJe utapeli wa waganga hufanyikaje hasa wa mitandaoni
Wewe ni tapeli?Boss la DP World niko hapa kujibu maswali yako. Nimekunja 4 hapa kwenye ofisi yangu ya kifahari najizungusha zungusha kwenye kiti changu wakati nikifikiri kuhusiana na michongo ya kuongeza ukwasi wangu kupitia watu wa Africa na rasilimali zao.
Karibuni.
Hapana njoo na cv yako bandariniWewe ni tapeli?