Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 1 na 2 sio kweli....kuna watu wanatumia na midomo yao sio myeusi na kuna watu hawatumii midomo yao Ni meusi .....kuna msemo wa kizungu unasema Don't Judge Book by it's cover....Daaah pole Sana....
Hao hawawajui wavuta BANGE....wanaongea hisia...wanaongea YANAYOWAJIA VICHWANI....
Bange haijifichi....iko PEUPEE...
1.Midomo Myeusi tofauti na kipindi Cha nyuma..we unayo?
2.Viganja na vidole vyeusi(kwa Moshi na moto wa vyaukucha)..uko hivyo?!!!
3.Macho mekundu baada ya BLAZE...we uko hivyo?!!!
4."kusizi" Sana na maongezi machache baada ya BLAZE...we uko hivyo?!!!
Rasta ni STYLE tu ya nywele.....
Wala si kila MNYOA KIPARA huwa havuti KIJITI....
Peace
Sawa.....Namba 1 na 2 sio kweli....kuna watu wanatumia na midomo yao sio myeusi na kuna watu hawatumii midomo yao Ni meusi .....kuna msemo wa kizungu unasema Don't Judge Book by it's cover....
Umepinga kitu ambacho hukifahamu kwa undani...mbona jamaa ameelezea vizuriNamba 1 na 2 sio kweli....kuna watu wanatumia na midomo yao sio myeusi na kuna watu hawatumii midomo yao Ni meusi .....kuna msemo wa kizungu unasema Don't Judge Book by it's cover....
Dah.....mzee uko sahihi....Ila baadhi hawavuti Hadi iko Cha ukucha kinachounguza mdomo na vidole pia....!!aina noma tuendelee kublazeSawa.....
Moshi ndio unaowafanya hivyo nilivyosema....labda hao huvuta smokeless ganja.....otherwise wameanza kuvuta jana na "wanaipapasa" tu....
Yap
Ukifahamu ww inatoshaUmepinga kitu ambacho hukifahamu kwa undani...mbona jamaa ameelezea vizuri
kweli kabisaMatendo na muonekano wako ndivyo vilifanya tukuone unavuta bangi.
Matendo yepi?!!🤣Matendo na muonekano wako ndivyo vilifanya tukuone unavuta bangi.
🤣Hakuna maisha magumu kama kuwaishi watu wengine. Na hapa duniani sikio ni kama jalala, maana lipo wazi kusikiliza kila kinacho semwa mkuu. Ebu jifunze kupuuza kama mimi ninavyo wapuuza wanaosema mimlevi, wakati mimnuwaji tu...😂😂
🤣🤣🤣namaliza kuvuta tu nauona uzi wako
Kwani kuna aliekibishia mbona walio wengi wanalijua hili kutoka kwakoJamani hili jambo linanisikitisha na linaninyima raha hadi sasa.
Ni hivi miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma nilianza kufuga Rasta hadi namaliza chuo nipo na Rasta zangu ndefu tu.
Nipo Nimeingia kitaa baada tu ya kutoka chuo nikaamua nipunguze wingi wa zile Rasta, yaani niwe na Rasta tano tu kichwani kwa hiyo ikabidi niunge unge zile Rasta kichwani ili zitoke tano, lengo la kufanya hivyo ni kupunguza wingi wa kuwa na rasta nyingi maana nilikuwa na Msitu haswa wa rasta.
Kwa hiyo nikawa na mikonga mitano ya nywele.
Miaka imepita nikaja kunyoa zile nywele kutokana sababu flani flani hivi. Basi baada ya hapo nakuja kutana na watu tofauti tofauti wa mtaani na wa familia wananipongeza kwa kukata nywele maana wanaambiwa nilikuwa mvutaji hodari wa bangi[emoji848][emoji848].
Leo kuna mtu tuliwahi fanya nae kazi enzi hizo nimekutana nae akaniambia hongera Bushmamy naamini sasa hivi huvuti mibangi yako kama zamani, nikamuuliza ushawahi niona navuta hiyo mibangi akasema ameambiwa hivyo ila yeye hajawahi niona.
Japo niliapa pale Kuwa ukweli wa Mungu sijawahi vuta Bangi lakini naona hakuamini na wala sikuhangaika naye maana silali na sili kwake ili nilitaka ajue kuwa watu wanajua kusema uongo.
Hata wazazi wangu hadi leo wanaamini hadi sasa napuliza.
Jamani kweli hiyo kitu. Sijawahi fanya kabisa nivip naweza waaminisha kuwa sijawahi hata shika hiyo kitu na mkono wangu, au niwapotezee?