Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
š¤£Bangi imetolewa katika list ya madawa ya kulevya usijali tumia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£Bangi imetolewa katika list ya madawa ya kulevya usijali tumia tu
Madem wa international wamavuta bangi sana sijui kwaniniMwanamke una vuta bhangi?
Hapa umepatia....Wanaovuta bangi kiukweli ni watu ambao huwezi kufikiri lakini bangi wakati mwingine haitaki fujo wala stress.
Siogopi na sipendi na wala sijawahi vuta,Sasa bangi inahalalishwa na inatajwa kama dawa ..na ishaanza kuwa kama sigara au better kuliko sigara.
Wewe why unaogopa kuonekana unavuta?
Advantage yake watu wakikuhisi unavuta hawakuletei upuuzi ovyo ovyo
Wanajua utawavutia uwakomeshe
Wewe ni MVUTA BANGI TU....hata ukataeMara ya mwisho kwani mara ya kwanza nilivutia wap
Mara ya mwisho kwani mara ya kwanza nilivutia wap
Unifundishe nini mkuu
Nimefatilia Hata unavyoongea humu jukwaani mdomo unanuka bangiLini na wap nimevuta bangi mimi[emoji22][emoji22]
Bora aendelee kuamini bangi maana akijua we ni mchawi ndo atakuacha kabisaWaache waamini hivyo,..mimi Hadi mke hataki kuniamini kuwa sivuti bangi,..Mana macho mda wote Ni mekundu
Tatizo hizi si tamaduni za wabongo mnapaswa kuishi kwa kuzingatia mazingira na tamaduni zilizopo.Jamani hili jambo linanisikitisha na linaninyima raha hadi sasa.
Ni hivi miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma nilianza kufuga Rasta hadi namaliza chuo nipo na Rasta zangu ndefu tu.
Nipo Nimeingia kitaa baada tu ya kutoka chuo nikaamua nipunguze wingi wa zile Rasta, yaani niwe na Rasta tano tu kichwani kwa hiyo ikabidi niunge unge zile Rasta kichwani ili zitoke tano, lengo la kufanya hivyo ni kupunguza wingi wa kuwa na rasta nyingi maana nilikuwa na Msitu haswa wa rasta.
Kwa hiyo nikawa na mikonga mitano ya nywele.
Miaka imepita nikaja kunyoa zile nywele kutokana sababu flani flani hivi. Basi baada ya hapo nakuja kutana na watu tofauti tofauti wa mtaani na wa familia wananipongeza kwa kukata nywele maana wanaambiwa nilikuwa mvutaji hodari wa bangiš¤š¤.
Leo kuna mtu tuliwahi fanya nae kazi enzi hizo nimekutana nae akaniambia hongera Bushmamy naamini sasa hivi huvuti mibangi yako kama zamani, nikamuuliza ushawahi niona navuta hiyo mibangi akasema ameambiwa hivyo ila yeye hajawahi niona.
Japo niliapa pale Kuwa ukweli wa Mungu sijawahi vuta Bangi lakini naona hakuamini na wala sikuhangaika naye maana silali na sili kwake ili nilitaka ajue kuwa watu wanajua kusema uongo.
Hata wazazi wangu hadi leo wanaamini hadi sasa napuliza.
Jamani kweli hiyo kitu. Sijawahi fanya kabisa nivip naweza waaminisha kuwa sijawahi hata shika hiyo kitu na mkono wangu, au niwapotezee?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kha nimecheka kwa sautiVuta hadharani mara ya mwisho halafu usivute tena. Ili waweke kumbukumbu upya kwamba kuanzia 2021 huvuti Tena ng'oo