Mkuu kiupande fulani uko sawa kiupande mwingine hapana..
1. Sio kila mvuta bangi lazima awe na lips nyeusi / kuungua lips.. kuna wavuta sigara wameungua midomo pia na kuna wavuta bangi wana zaidi ya miaka 10 wanavuta na lips hazijabadilika
2. Viganja na vidole vyeusi labda, nachojua juu ya vidole hasa gumba huwa kunakuwa brown hvi au rangi ya unjano njano flani na wengine huoni kabisa
3. Macho mekundu hapo kweli kabisa
4. Pia inategemeana na hisia zitakupeleka wapi kwani kila stick huwa ina hisia zake mkuu, utafurahi, utanuna, utawaza sana, utacheka n.k kutegemeana na hisia zitakupeleka wapi (as they say weed ni hisia)
Mvuta bangi mzoefu huwezi mkamata / mjua kwa simple ways kama hizi..
Jaribu kuangalia katikati chini ya lip ya chini je kumetuna / kuvimba hivi [emoji16], nmeishi nao sana mtaani chuo n.k nawajua vizuri and it is very easy to know kuwa mtu fulani anasmoke jani..
Sent from my SM-J730F using
JamiiForums mobile app