Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

Kwa vile ushanyoa ni swala la muda mtazamo wao utabadilika mazima hivyo hawatakuhisi tena, Sasa hivi fanya kupotezea tu.
 
Ishi maisha yako,yanayokuletea faida na maendeleo.
 
Namba 1 na 2 sio kweli....kuna watu wanatumia na midomo yao sio myeusi na kuna watu hawatumii midomo yao Ni meusi .....kuna msemo wa kizungu unasema Don't Judge Book by it's cover....
 
Namba 1 na 2 sio kweli....kuna watu wanatumia na midomo yao sio myeusi na kuna watu hawatumii midomo yao Ni meusi .....kuna msemo wa kizungu unasema Don't Judge Book by it's cover....
Sawa.....

Moshi ndio unaowafanya hivyo nilivyosema....labda hao huvuta smokeless ganja... na nimesema hapo(midomo myeusi tofauti na huko nyuma walivyokuwa)....otherwise wameanza kuvuta jana na "wanaipapasa" tu....

Yap
 
Hakuna maisha magumu kama kuwaishi watu wengine. Na hapa duniani sikio ni kama jalala, maana lipo wazi kusikiliza kila kinacho semwa mkuu. Ebu jifunze kupuuza kama mimi ninavyo wapuuza wanaosema mimlevi, wakati mimnuwaji tu...😂😂
 
Namba 1 na 2 sio kweli....kuna watu wanatumia na midomo yao sio myeusi na kuna watu hawatumii midomo yao Ni meusi .....kuna msemo wa kizungu unasema Don't Judge Book by it's cover....
Umepinga kitu ambacho hukifahamu kwa undani...mbona jamaa ameelezea vizuri
 
Sawa.....

Moshi ndio unaowafanya hivyo nilivyosema....labda hao huvuta smokeless ganja.....otherwise wameanza kuvuta jana na "wanaipapasa" tu....

Yap
Dah.....mzee uko sahihi....Ila baadhi hawavuti Hadi iko Cha ukucha kinachounguza mdomo na vidole pia....!!aina noma tuendelee kublaze
 
Matendo na muonekano wako ndivyo vilifanya tukuone unavuta bangi.
 
Kwani kuna aliekibishia mbona walio wengi wanalijua hili kutoka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…