Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

Wanaovuta bangi kiukweli ni watu ambao huwezi kufikiri lakini bangi wakati mwingine haitaki fujo wala stress.
Hapa umepatia....

Nina mifano mingi sanaa ya watu walio kua smart Ila waka haribikiwa kweny MAISHA

Baada ya kuvuta kupita kiasi jumlisha stress na fujo.
 
Sasa bangi inahalalishwa na inatajwa kama dawa ..na ishaanza kuwa kama sigara au better kuliko sigara.

Wewe why unaogopa kuonekana unavuta?

Advantage yake watu wakikuhisi unavuta hawakuletei upuuzi ovyo ovyo

Wanajua utawavutia uwakomeshe
Siogopi na sipendi na wala sijawahi vuta,
Kitu sifanyi kwanini mtu anitangazie jamani
 
Vuta hadharani mara ya mwisho halafu usivute tena. Ili waweke kumbukumbu upya kwamba kuanzia 2021 huvuti Tena ng'oo
Mara ya mwisho kwani mara ya kwanza nilivutia wap
 
Bunge la marekani [ congress] limepitisha muswada kuhalalisha ganja!! Ukiwa Washington DC unalipuliza tu ukiwa barabarani hakuna wa kukubugudhi!!! Waswahili tuliwekewa hizi sheria za kupiga marufuku GANJA kwa faida ya watawala wetu na sisi mpaka hivi leo bado tunazikazia bila kuzifanyia utafiti wa kina!!! GANJA is a multibillion dollar industry; ni fursa ambayo nchi zenye watu welevu wanaitumia optimally!
JE unajua kuwa makampuni yanayojihusisha na GANJA yako listed kwenye New York stock Exchange?
 
Waache waamini hivyo,..mimi Hadi mke hataki kuniamini kuwa sivuti bangi,..Mana macho mda wote Ni mekundu
 
Mzee Warioba mwenyewe tunakula naye mashashi hana noma na mtu alafu wewe unawaza walimwengu ambao hawanywi hata bia ni walokole kabisa ila wanasengenya january mpaka december/

Kwani hii dunia yetu kidela??
 
Tatizo hizi si tamaduni za wabongo mnapaswa kuishi kwa kuzingatia mazingira na tamaduni zilizopo.
 
Huwezi ishi kwa kuprove kwa kila mtu kuhusu mashaka waliyonayo juu yako..binadamu hatuna jema

Fanya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…