Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

Relax,Wala usisikilize maneno yao fanya yako,maneno mengi yatasemwa na makwazo hayana budi kuja.narudia Tena Relax, Relax,Hebu mwenye nyimbo ya Good luck Gozibert_Mungu hapokei rushwa na wimbo mwingine wa Good luck Gozibart_kumbe ni hao hao.na ule hauwezi kushindana na mwadamu mwenye kinywa aturushie jamvini humu ili tumburudishe ndugu yetu huyu.Relax.[emoji1241]
 
Ukijifananisha na wavuta bangi utaitwa mvuta bangi..ukijifananisha na Makahaba utaitwa kahaba..
Ukijifananisha na walokole utaitwa mlokole..

Ukijifananisha na Watu Fulani hiyo ndo identity yako...
POLE WEWE ENDELEA NA MAISHA YAKO...huwezi badilisha mawazo yao haraka.
 
Bangi Jamani inapoteza Watu....Inaharibu maisha, Inaharibu Akili...

Mh
Kuna siku nilikua napiga story na mchungaji wa dhehebu Moja.....

Kuhusu uvutaji wa bangi....Nikamwambia nina Rafiki yangu tangu yupo primary alianza kuvuta

Mpaka muda huu tuna zungumza yupo kwenye taasisi serikalini kupitia yeye nilipata mtazamo tofauti na bangi....

Yupo smart kichwani...yupo cool...pia Ni mstarabu sanaa...katika jamii hakuna hata mmoja ambae anamdhania kua jamaa anapuliza msuba....

Nikamwambia mchungaji huyu jamaa Ni mtu wa watu yupo peace Sana hana tatizo na mtu...

Mchungaji alicho nijibu akasema kweny uvutaji bangi mtu anaweza akawa mwema machoni pa watu akauficha uovu kweny macho ya watu...

Akasema bila shaka uvutaji wa bangi hauto iacha akili salama...
 
Ukikitia akilini hicho kitu kitakusumbua sana wewe waache tu.Wataujua ukweli tu wenyewe
 
muonekano wako nd uliwa aminisha unavuta kutokana n kunyoa rasta na kuziacha tano kichwani waka amini unatumia bangi ila kweny ay Maisha fata mambo yako usiskilize ya wengine watakupoteza mda tu
 
muonekano wako nd uliwa aminisha unavuta kutokana n kunyoa rasta na kuziacha tano kichwani waka amini unatumia bangi ila kweny ay Maisha fata mambo yako usiskilize ya wengine watakupoteza mda tu
Sikunyoa bali niliziunga unga zikawa nene,
Sahivi nimenyoa, na uzee ndo huo namalizia uzee wangu taratibu
 
Nafikiri ni Ile Dhana kuwa marasta ni wavuta bangi, enzi hizo marasi hatukuwa wengi kama ilivo sasa
 
Ukitaka waamini hauvuti hakikisha kila asubuhi uwe unajitolea kufanya kazi za kijamii kama kumwagilia nguzo za umeme mtaani kwenu maana zimekauka sana, au futa futa vumbi kwenye vibao vinavyo elekeza shule/zahanati ilipo mtaani kwenu

Kwa wema huo watajua tu uvuti maana wavutaji hawawezi kujitolea kufanya kazi za kijamii
 
Mkuu... Usione Watu wanasifia Bangi Ukasema Ni Jambo zuri...Watu wamepoteza muelekeo wa maisha yao, Wamelazwa Mirembe ...nahawajawai kupata kupona ..wanakuwa wakutumia Dawa.


Watu walikua smart shuleni wakavuta bangi wakapotea Kabisaa..

Hao wachahe wanao isifia bangi eti Ni natural wasitiliwe maanani.
 
Nafikiri ni Ile Dhana kuwa marasta ni wavuta bangi, enzi hizo marasi hatukuwa wengi kama ilivo sasa
Saiv hujasikia wavaa vikuku wanaitwa makahaba sijui wakawa Tigo je Ni KWELI?
Wasuka nywele wanaume wanaitwa wasaniii...

Huwezi fanya Mambo ambayo yanafanywa na jamii Fulani alafu wakikuhusisha na Tabia za jamii hiyo unakasiKITIKA.

Huwezi vaa mahirizi alafu ukiambiwa mshirikina Ukasema hapana Mimi nimevaa TU..

KOSA LAKI NI KUJINASIBISHA NA MAMBO AMBAYO WANAFANYA WAVUTA BANGI.
 
Nafikiri ni Ile Dhana kuwa marasta ni wavuta bangi, enzi hizo marasi hatukuwa wengi kama ilivo sasa
Hata hao marasi wasaiv... Wanahusishwa na bangi... Kuna rasi mmoja mtaani Kwetu hapa anabodaboda... Anavaa mavazi ya kijamaika...na mavazi yenye picha za bangi...
So tunaMuona MVUTA BANGI..
 
Uvutaji wa bangi huhusishwa sana na ufugaji wa rasta, ni kama vile uvaaji wa vikuku na nanilii...




Cc: mahondaw
 
Ndo shida ya wabongo kuamin ni ngumu sana...
huku kwetu masela wamekataa kumuamin dada wa watu kuwa ni bikra kisa ana mtoto mmoja...
 
Anza kuvuta ili waone utofauti...
 

Mkuu kiupande fulani uko sawa kiupande mwingine hapana..
1. Sio kila mvuta bangi lazima awe na lips nyeusi / kuungua lips.. kuna wavuta sigara wameungua midomo pia na kuna wavuta bangi wana zaidi ya miaka 10 wanavuta na lips hazijabadilika

2. Viganja na vidole vyeusi labda, nachojua juu ya vidole hasa gumba huwa kunakuwa brown hvi au rangi ya unjano njano flani na wengine huoni kabisa

3. Macho mekundu hapo kweli kabisa

4. Pia inategemeana na hisia zitakupeleka wapi kwani kila stick huwa ina hisia zake mkuu, utafurahi, utanuna, utawaza sana, utacheka n.k kutegemeana na hisia zitakupeleka wapi (as they say weed ni hisia)

Mvuta bangi mzoefu huwezi mkamata / mjua kwa simple ways kama hizi..

Jaribu kuangalia katikati chini ya lip ya chini je kumetuna / kuvimba hivi [emoji16], nmeishi nao sana mtaani chuo n.k nawajua vizuri and it is very easy to know kuwa mtu fulani anasmoke jani..

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…