Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

Sonko Bibo

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2019
Posts
957
Reaction score
1,493
Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,,
Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana.
* **** ****

Miaka imeenda sana,,
Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki.
Zingatia sieleweki yaani,

Hawasikii Sonko kuwa na demu,
wala zile kesi za ajabu ajabu.
Kifupi mtaani nimechill sana.

Sina urafiki na vijana,
Bali wazee ndio natumia time kubwa kukaa nao
Napenda kuwafuata wazee hasa nikiona yule anaependa kukaa peke yake.
Kuna vitu nafyonza kwao.
Lakini hawanishauri kuhusu mahusiano maana hawana uhakika kama upande nautazama sana.
Na mimi sioni kama kuna umuhimu kuulizia hizo mambo.
Lakini kumbe laiti ningejua ningebase huko pengine ningepata maarifa ya kutisha..

Kwenye simu za hapa na pale na maza,
Ni kelele tu za hivi utaoa lini huoni unazeeka?
Nazeeka vipi sasa wakati niko 23?
Presha ikazidi nikahisi bi mkubwa anaweza kuwa sawa mi ndio nikawa navurunda eti.
Nikaanza kufukuzia visichana hapa na pale,, kumbuka mi mgeni kwenye gemu sijawahi kuwamo kabisa.
So hata walipokuwa wakifanya flirtings zao sikuwa nikielewa lolote yaani.
Ugumu unakuja maana nawinda watoto ambao ni hotcake za mujini.
Tena muji wenyewe ndio huu huu niliokulia wa Daslama?
sio kweli, hapa ni full kuliwa nauli na salio,
Wale wanaoshoboka nawaona sio ndoto yangu.
Nataka nipate mtoto ambae nikimsimamisha na Nikki Minaji watoke droo.
Kitu sikujua ni kwamba nawinda kupata mke ndani ya makahaba,, na ukicheki nilivyokomaa utadhani nina status ya pull factor kumbe ni Ngoswe tu aliyezamia Daslam.
Likaja wazo la kiwaki,, sijui hata lilitoka wapi maana uvunguni hamna kitu na kusafi daily.

Nikampata binti mmoja wa Mbagala nikampa dili kuwa anizalie watoto wawili nampa m2. Akakubali akazidisha mawasiliano sasa.
Usiku kuanzia saa tatu hadi sa saba ni mwendo wa kuongea sasa mi ni introvert naona ananikera yaani akipiga simu nawaza nitaongea nae nn?
Kama ni maneno nahisi nishamaliza yote.

Magetoni nina mwamba wangu mmoja yeye anasoma St Joseph unvst.
Nikamshirikisha hili wazo maana ni mwanangu since wayback na tulishaapa kujenga nyumba zetu sehemu moja.
Mwana akaniambia homeboy, unafeli hivi hivi nakuona.
Mbona una presha kubwa hivi? Sijakuzoea hivi ujue..
Namuuliza why nafeli?
Ananijibu utapigwa.
Namuuliza how?
Ananiuliza je huyo binti akitaka umuoe utamuoa?
Namjibu siwezi kumuoa maana mkataba wetu hausemi nimuoe.
Tumekubaliana anizalie watoto tu then maisha mengine yaendelee.
Jamaa ananiuliza je ana mtoto kwanza?
Namuambia hajaniambia kama ana mtoto.
Ananiambia, muulize kwanza.
Napiga simu hapo hapo nakuuliza halafu kitu iko loud speaker.
Binti anatomboka vya kutosha.
Lastly hana mtoto.
Jamaa yangu ananiambia,, utapigwa halafu utaachiwa maumiv na watoto wako hutakuwa na access ya kuwa nao maaan wao ndio source ya mkataba.
Namuuliza how?
Anasema ushamuonyesha kuwa yeye humuhitaji bali watoto tu.
Unadhan kama yeye anakuhitaj atatumia njia gan kujimilikisha kwako?
Hapo sasa naanza kumpata vyema homeboy anachomaanisha.
Ananiambia kuwa mimba ni kweli atakubebea lakini hatokupa watoto maana wanawake huupenda sana uzao wao wa kwanza hata kama mtoto atatoka taahira niamini mimi kitinda mimba anaweza akanyimwa kitu akapewa kifungua mimba.
Nikamcheki homeboy kwa sekunde kadhaa huku nikijiwazia,, now this is a worth friend.
Hilo likapita Sonko nikabaki salama.
Lakini kumbe ibilisi alikuwa na mipango ya kuniweka spana sio poa
Jamaa akanishauri kwanini usimuoe fulani akifanya reference ya mabinti nilioskuli nao, nikampinga maana niliona viatu vile na safari yangu nitaburuza sana njiani sitafika.

Siku zikasonga nikiwa job nikakutana na kabinti kamoja raia ya singi, nyaturu moja Omufanga,, wajo fingijo fingijo.
Manzi nikamnoki ile sana but sijui kama nae alininoki sielewi si unajua moyo wa mtu kichaka.
Nikaanzisha nae mawasiliano tena kwa tahadhari ili nisijekumkera akasepa,,
Maana nishamunoki( mpenda) sana.
Ikapita like miezi miwili nikamtongoza kawaida tu nikamwambia nataka nimmiliki mazima, akatishia kunizimia fegi hata pafu sijapiga.
Nikaona nishawakosa kibao sana tena ambao nilitamani kuwa nao.
Kama anazima fegi sio dhambi pia sitakufa.
Mara time ilivyoenda akaniambia anataka kuja kupaona geto napokaa
Kwasababu nilikuwa na mwanangu geto sikutaka kuchanganya maisha kabisa nikamkatalia nikamwambia nina mwamb naish nae na ni mwanangu sana so sio picha nzuri.
akasema sawa.
Siku moja akaniambia nije au kila siku mmegandana magetoni tu?
Nikamwambia njoo leo mwana yuko chuo na kaniaga atakaa kwa manzi yake walau siku tatu.
Manzi akaja akakuta nimepika wali na kibua wa nazi za bahkresa.
Tukala tukakaa kupiga stori.
Nikaweka muvi tukawa tunaangalia tu kumbuka mimi sijawahi kusex na manzi yoyote so siichukulii kwa uzito huo uwepo wake geto kwamba anaweza akaniruhusu nimpige ukuni.
Manzi mara akanishika shingo akataka mate.
Na mimi nikampokea tukaanza romance hapo mlango wa geto uko wazi.
tunaanza kuzama kwenye feeling mara anakuja mjukuu wa mwenye nyumba kijana mdogo miaka like ten years anatukata stimu anaomba kitu fulan katumwa na bibi yake nampa then nalock kabisa mlango maana kaliingia hadi nditch kalishazoea kanakuja hata muvi tunaangalia na vitoto vingine
Vinakaaga kwenye kapeti unyoya.

Mikiki mikiki inaanza tena,, this time tunaenda hadi ndani ndani humo sipajui jina lakini nasikia kuna kumwaga.
But nagundua kumbe ngono kwa mara ya kwanza kwa mwanaume huwa haina ladha kabisa but as time goes ndio anaanza kuenjoy na kuitaka pengine zaidi ya msosi?
Aniambia tupige cha pili tena nawaza sasa kama ladha yenyewe hamna sasa narudia ili iweje anauchukua ukuni ambao kitendo cha kuuwekea mkono tu unakuwa mnara juu.
Anaukalia anafanya yake mi nampa kampani kiasi tu maana siko mchezoni kabisa.
Baada ya muda anaondoka anarudi alipotoka.
Ananiacha nikitafakari sasa inakuwaje watu hadi wanapiga makelele vile wakati hakuna cha ajabu?

Muda na shetani vinaniambia subiri tu we mwana usie na hatia utatufahamu tu tutakupa vingi bado hujajua.
Baada ya siku kadhaa anakuja tena tunafanya tena ila awamu hii mimi ndio naupata ule utamu na ladha so ninafanya na kufanya tena namuomba tena ananipa na kunipa tena nanogewa.
Mwanangu kesho yake anarudi na kuniambia kuwa ameshapata mwanae mmoja hivi pale pale chuo so anahamia pale ili kupunguza gharama za nauli
Naumia sana maana ni mwana ambae nimemzoea sana.

Nabaki mpweke. Napiga simu kwa manzi yangu namuunganisha waongee mshikaji anamuambia manzi yangu yeye anaenda mbali kidogo so siku akitukuta atamuona wala haina kabaya.

Manzi anapata taarifa rasmi kuwa nitakuw mwenyewe so ananiambia kama vipi aje tukae wote wakati wetu huu wa uchumba nasema sio mbaya.
Kesho yake baada ya mwamba wangu kuondoka manzi anakuja mida ya jioni na mabegi yake.
Anajimilikisha gheto la Sonko.
Anafanya makaratee kibao vitu ambavyo sikuwa navyo ananinunulisha
Hapo ndio naamini kweli nyumba ni mwanamke..
Mazungumzo baina ya yeye na maza yanashamiri muunganishaji nikiwa ni mimi hapo.
Linakuja seke seke jingine, wanawake hawatosheki yaani,, Mama anadai nimpeleke nikamtambulishe bush.
Manzi anasema hapana tuanzie kwao Singida kwanza.

Ninamwambia hapana tuanzie kwetu kwanza hapa dar Mshua akuone maana nimelelewa na mshua.
Then tukitoka kwa mshua twende kwao Singida mwisho tumalizie kwetu Tarime kwa Maza.
Maana wazazi wangu walitengana miaka kibao iliyopita kiasi nimekuwa dingi sikuwahi kumuona mpaka nimefika miaka tisa.

Then mvuum!! Mshua huyu hapa hataki maelezo kanipitia kama kipanga.
Tukaenda kwa mshua kisha nikaenda kwao.
Kwao sikwenda nae nilienda mwenyewe zingatia hapa kwenye kwenda mwenyewe bila yeye ndipo kiini na usumbufu wa hii stori ùlipo.

Nilienda mzee akanikabidhi mtu wake wa mkono tukaenda ukweni.
Na jamaa ndie aliniambia tusiende na binti kule kwao.
Huyu jamaa ni mwamba sana
Yaani ukimuona huwez kuidhania akili kubwa aliyonayo hata kidogo.
Baadae ndio nilielewa ni kwanini mshua alimteua huyu mtu.
na hapa ndipo niliacha kumunderate mshua.

Iko hivi
Jamaa aliniuliza ukiniangalia labda nina miaka mingapi?
Kwakuwa nilikuwa 23 na nikimuangalia jamaa namuona kama mchizi moksi fulani nikamuambia nakukadiria kwenye miaka 32.
Akakaa kimya kidogo kisha akaniambia nina miaka 48.
Nikashituka sana, amenizidi miaka 25? How?

Jamaa akaniuliza huko tunakoenda mke wetu yupo huko ?
Nikamwambia hapana.
Akauliza yuko wapi nikamuambia niko nae geto. Ila jibu hili nililitoa nikiwa sijiamini sana maana nilihisi labda jamaa ataona nishavuruga taratibu tayari.
Jamaa akakaa kimya kidogo akiwa ananitazama kiaina.
Kisha akaniuliza nani alikuambia umtunze gheto kwako ilihali hujamlipia mahali?

Nikamjibu amekuja mwenyewe na tunaishi hii sasa wiki ya nne.
Jamaa akasema vizuri hata kama angekuwa Singida ningekwambia umuite aje gheto kwako umuache gheto kwako then ndio sisi twende kwao Maadamu tayari yuko kwako basi haina shida.
Sikumuelewa maana yake mpaka tulipotoka huko ukweni,, nitaelezea huko mbeleni.

Safari ilianza na tulifika saa kumi na moja jioni tukapokelewa na wenyeji wetu..
Tulilala palipopambazuka taratibu zote zilifuatwa tukatozwa faini ya kimtindo maana tayari tulihesabika kama wezi kulingana na taratibu za huko Singida na jamii nyingi tu Afrika.

Basi tulitoa kishika uchumba,, lakini Jamaa akaniuliza uko vizuri? Nikamjibu ndio akaniuliza una bei gani nikamuonyeshea vidole viwili akaelewa akaomba udhuru tukatoka nje akaniambia lete bahasha nikatoa maana aliniambia mapema tukiwa Dar kuwa nihakikishe nakuwa na bahasha ndogo zisizopungua 30 basi nami nilikuwa nazo kwenye mifuko ya koti lote la suti yale makoti marefu maarufu kama Obama.

Nikatoa bahasha kumi kisha kila bahasha nikawekamo elfu kumi kumi kisha akaniambia chukua bahasha mbili wekamo elfu 30 kila moja ila zitenganishe na zile za elfu kumi kumi.
Nikafanya hivyo akaniambia zile mbili ni kwaajili ya wazazi tu zile nyingine ni kwaajili ya wajumbe wengine.

Tukarudi kikaoni kikao kikaendelea
Jamaa akasema kuwa ni ombi la kijana wangu kuja kwenu amalize kila kitu leo
Kisha akanipa ishara nianze kuchapa bahasha mezani. Nikachapa bahasha nikaona kila mtu anachungulia yake kivyake.
Wazazi nao wakachapwa za kwao ukimya ukatanda.
Kikao kikaendelea wazee wakatetema wakiulizana suala la mahari wakaomba tuwapishe ili wajadili mahari ya binti wao.
Tulivyotoka nje Jamaa akaniuliza binti ana mtoto? Nikamjibu ndio ameniambia juzi hapa na hakuwahi kuniambia siku zote.
Jamaa akaniambia hakuna shida sisi ni wakurya.

Akaniambia chukua bahasha moja weka laki tano tu kisha tulia shughuli nyingine niachie mimi.
Nikabaki nimeduwaa wakati mimi nilikuwa nawaza hata milioni mbili hivi?
NIkamuuliza kwanini? Haoni kama itakuwa ni kidogo sana?
Akaniuliza unadhani baba yako alikosea kunituma huku?
Ipo siku utaelewa baba yako ni nani we tulia tu nimekwambia shughuli yote niachie mimi. Nikikupa nafasi tu utaharibu na mzee wako aliniambia nisikupe nafasi utaharibu.

Kauli ile ilianza kunitoa kwenye reli ghafla.
Nikijiangalia nina pesa na mwisho wa mwezi uhakika utaniambia nini umri wenyewe wa kwenda klabu kwanza halafu mimi ndio sijui hata hizo starehe zaid ya kuipambania shilingi.

Jamaa alinituliza tuli kumbuka ni mkubwa sana anaweza kunizaa kabisa lakini tunabonga kihuni ile mbaya.
Tukarudi ndani wakatutajia mahari ambayo niliona ni wazi hapa tumekuja kudhalilika mimi na Mshenga wangu.
Nikabaki nina mshangao wa ndani japo mdomo haukufunguka lakini machoni tu ungeweza kuusoma mshangao wangu.
Yaani sio hata ile niliyokuwa naiwaza sembuse hii tuliyoweka kwenye bahasha?
Nikawatazama machoni wale watu kasoro mama mkwe.
Nikawaona wametulia wanatusubiri sisi tutoe jibu.
Nikamtazama mshenga wangu nae akawa ananitazama tu kama ananiuliza unasubiri nini?
NIkabaki dilemma sielewi nahisi kuchanganyikiwa.

Tutaendelea.....
Acha nipumzishe vidole kwanza ninywe na kajuice maana maisha haya..
 
Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,,
Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana.
* * *

Unafikiri humu kuna watoto wenzako wa 2000 ? ambao watakaaa na kusoma gazeti lote uliloandika
 
Subiri kipande cha pili mkuu acha hasira ni maisha tu haya na hii ni story yangu halisi kabisa kama unafuatilia post zangu utaunganisha dots ila leo nimeamua niulete mkasa mzima kama ulivyo.
 
Back
Top Bottom