M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,285 Reaction score 13,703 Oct 27, 2025 #1 Ndugu wa Tanzania jiandaeni na Maandamano, ikitokea mvua mjue ni baraka.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,400 Oct 27, 2025 #2 Dogo punguza presha mbona kama umeanza kuingia baridi?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Oct 27, 2025 #3 Yasijekuwa yaleyale ya Kinjekitile Ngwale na risasi za Mjerumani kugeuka maji,maana kuingizana chaka hakujaanza leo hapa Bongo country.
Yasijekuwa yaleyale ya Kinjekitile Ngwale na risasi za Mjerumani kugeuka maji,maana kuingizana chaka hakujaanza leo hapa Bongo country.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Oct 27, 2025 #4 Usiku ndio kabisaaa hata hayalipuki.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Oct 27, 2025 #5 Wakija na vile vimbwa vyao koko, vitupieni tu makongoro! Kutokana na njaa, vitakula na kuacha kuwabwekea.
Wakija na vile vimbwa vyao koko, vitupieni tu makongoro! Kutokana na njaa, vitakula na kuacha kuwabwekea.