Niwakumbushe wanaume wakati mkiwa bize na nyie kuwapambania wanawake itakapo fika zamu yenu kupambaniwa hawato wasaidia kamwe

Huu mwezi wanawake sijui mmemzingua nini, maada hizi mada hadi #KataaNdoa tumebaki midomo wazi.
Hawa viumbe hawakuumbwa na mioyo kama ya wanaume hawa viumbe ni wabinafsi sana pata tu picha ndogo mwaume anaweza kuishi na mwanamke asiye na kazi na asiye na kitu lakini hali ni tofauti kwao hawawezi kabisa kuishi na mwanaume asiye na kitu hawa malalamiko yatakuwa kila sehemu
 
Malawi walifanikiwa kumto yule Mama na sasa ni shwari. Hata Maandiko yanasema,Mungu alimweka mwanamke ili awe msaidizi wa Mwanaume na siyo vinginevyo.
Kina mama wana majukumu yao kwa mujibu wa uumbwaji wao na hiyo ni kwa viumbe wa kike wote duniani nashangaa kiumbe binadamu anataka kubadili uhalisia
 
Kina mama wana majukumu yao kwa mujibu wa uumbwaji wao na hiyo ni kwa viumbe wa kike wote duniani nashangaa kiumbe binadamu anataka kubadili uhalisia
Na anaetaka kubadili tumchunguze,lazima atakuwa na maslahi binafsi.
 
Hizi nyuzi sasa zinatisha.
Au ni vita dhidi ya Globalisation?
 
Self-control kila kitu Kwa kias

Pia hizi harakati za kuwakomboa wanawake zimekaa kisiasa tu maaana wanawake 90% bado ni omba-omba.
 
Self-control kila kitu Kwa kias

Pia hizi harakati za kuwakomboa wanawake zimekaa kisiasa tu maaana wanawake 90% bado ni omba-omba.
Ndio nashangaa hata mimi kijiweni kwetu hapa tuna piga kazi hakuna mwanamke hata mmoja akija leo kesho analalamika kazi gumu anaacha anakula mbio sasa hiyo haki sawa unajiuliza wanamaanisha kwenye kugawana mirathi tu
 
Kibao ndio kimeshageuka kama alivyotabiri Shehe Yahya Baada ya Nyota ya Mwanaume kukatizwa itatawala Nyota ya kike hadi CCM itapotoka madarakani
Wanawake wanapenda umbea ndio tabia yao kwa asili. But mwisho wa CCM ni 2025 kwenye sanduku la kura
 
Kibao ndio kimeshageuka kama alivyotabiri Shehe Yahya Baada ya Nyota ya Mwanaume kukatizwa itatawala Nyota ya kike hadi CCM itapotoka madarakani
kwani ina muda sasa kutoka madarakani si swala la muda na kwa sasa marekani ameshaonyeshwa nn atachota kwahyo fisiemu wakileta ujuaji wanashushwa cia wanaharibu mambo alafu nchi inaliwa kivingine ni muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…