Kuna wanaume nawashangaa sana unakuta baba zima limesimamisha kitambi na ndeke zake lina wasemea wanawake utadhani na lenyewe limama, mara ooh! Kuwe na 50 kwa 50 mara ooh! haki sawa, halafu ukilitizama ni jibaba zima kabisa lenye mwili na sijui kuhusu akili
Niwaambie tu ukweli hapa baada ya kuwapambania hao wanawake na wakafika wanapo pataka na wakashika hatamu basi kibao kitageuka na kitageuka haswaa na hapo ndipo mtakapo ziona rangi halisi kabisa za hawa viumbe na ndipo mtakapo jua kwanini mungu aliwapa majukumu yao na wanaume wakapewa majukumu yao
Endeleeni kulazimisha usiku uwe mchana.