Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

Theb

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
3,927
Reaction score
7,276
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk.

1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka mshindi kwenye shindano lile. Japo nimechelewa kuandika huu uzi ila nadhani hata sasa sio mbaya

2. Hongereni washindi wengine namba 2, 3 na wengine wooote.

Wa mwisho kabsa ni wale wote waliopiga kura zao kwenye nyuzi za washiriki nao tuwape hongera kwa kushiriki kwao katika upigaji kura na kutoa maoni yao kwenye machapisho yetu washiriki.

Nihitimishe kwa kuwapa hongera viongozi wa Jamii forum.kwa kuanzisha hili shindano ni mwanzo mzuri na liwe endelevu itasaidia watu kuibua mambo mbali mbali yanayotuzunguka kwenye jamii zetu yenye kuhitaji utatuzi .
 
Upvote 15
Asantee me nilkua mshiriki,napenda kutoa shukrani kwa ushiriano wenu hata kusoma katika threads zangu ,nakuchangia maoni,Mungu awabariki wote mlismhirki,hata walio shinda, Asantee
 
Nadhani kuna kitu ilikua sijakiweka sawa labda ndio maana nkakosekana. Mkuu usijali haikuwa bahati yetu
HONGERENI WASHINDI, WASHIRIKI NA WAANDAJI. HII KITU NIMEIPENDA SANA TENA SANA
Watuletee kila mwaka ila wajitahidi bbaadhi ya kasoro zilizoonekana wazitatue zisijirudie
pole sana Mbagga, nilitegemea wewe ndiyo ungeibuka #1, au hata ndani ya 5 bora kwa zile kura, lakini mambo yamekua tofauti

wajumbe hawafai
 
Asantee me nilkua mshiriki,napenda kutoa shukrani kwa ushiriano wenu hata kusoma katika threads zangu ,nakuchangia maoni,Mungu awabariki wote mlismhirki,hata walio shinda, Asantee
Pamoja sana kiongozi na wakileta tena shindano kwa awamu nyingine tushiriki kwa kuandika zaidi mambo yaliyopo katika jamii zetu👍🏻
 
Mbaga III andiko lako lilikua zuri sana nililicopy bila ruhusa yako(sorry for this) nikampatia mdogo angu flan nae yuko chuo baada ya kusoma amebadilika kwa kiasi kikubwa chief ingawa hujapewa zawadi ila wewe ni mshindi mwana Chelsea mwenzangu 😂kura yangu ulipita nayo chief hata kabla ya kuniomba kura PM
na pia kwa mshindi Abrianna amebadilisha fortune yangu katika upigaji kura yaan tokea Shule ninaemchagua lazima ashindwe acha kwenye chaguzi za kitaifa mara zote ni kushindwa tu ila kwa yeye nimefanikiwa kuwa sehemu ya ushindi wake nahisi hata 2025 upepo wangu utakaa sawa kwa kutumia nyota ya abri
 
Pamoja sana kiongozi. Hata uki copy useme mwandishi nani mzee baba
 
Back
Top Bottom