Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

Theb

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
3,927
Reaction score
7,276
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk.

1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka mshindi kwenye shindano lile. Japo nimechelewa kuandika huu uzi ila nadhani hata sasa sio mbaya

2. Hongereni washindi wengine namba 2, 3 na wengine wooote.

Wa mwisho kabsa ni wale wote waliopiga kura zao kwenye nyuzi za washiriki nao tuwape hongera kwa kushiriki kwao katika upigaji kura na kutoa maoni yao kwenye machapisho yetu washiriki.

Nihitimishe kwa kuwapa hongera viongozi wa Jamii forum.kwa kuanzisha hili shindano ni mwanzo mzuri na liwe endelevu itasaidia watu kuibua mambo mbali mbali yanayotuzunguka kwenye jamii zetu yenye kuhitaji utatuzi .
 
Upvote 15

Hongereni saaaaaana washindi, ila shindano linahitaji maboresho makubwa sana kimfumo, binafsi naona limekuwa kama shindano la Umiss (ulimbwende).
 
Nani kawa Balozi wa JF? Mfumo una usiri mkubwa unaoalika imani ndogo! Nakumbuka jinsi ambavyo Amina Chifupa (a mere apprentice) alivyozoa tuzo za utangazaji mara mbili akibwaga manguli wa heshima kubwa kwenye jamii wa iliyokuwa RTD. Tuzo za aina hii ya kupata akina Amina Chifupa zinabomoa badala ya kujenga career. Ninakiri mashindano ya JF siyo ya staili ya akina Chifupa.
 
Tena mpe taarifa akinikataa tu basi nampendesha kwa njia za asili..😂
🤣🤣🤣🤣 hivyo akubali kwa lazima..? Huyo ni mlokole atapiga sala hapa kama zote usije dondoka na ungo wako bure🤣🤣🤣🤣
 
Mwanzo mzuri mapungufu uliyo yaona ni vizuri ukawaambia hata kwa kuandika uzi ili kusaidia management nzima itasaidia kwa awamu nyingine. Nadhani itakua busara zaidi.
Nani kawa Balozi wa JF? Mfumo una usiri mkubwa unaoalika imani ndogo! Nakumbuka jinsi ambavyo Amina Chifupa (a mere apprentice) alivyozoa tuzo za utangazaji mara mbili akibwaga manguli wa heshima kubwa kwenye jamii wa iliyokuwa RTD. Tuzo za aina hii ya kupata akina Amina Chifupa zinabomoa badala ya kujenga career. Ninakiri mashindano ya JF siyo ya staili ya akina Chifupa.
 
🤣🤣🤣🤣 hivyo akubali kwa lazima..? Huyo ni mlokole atapiga sala hapa kama zote usije dondoka na ungo wako bure🤣🤣🤣🤣
Ungo! Haya mambo ya zamani mbona sikuhizi tunatumia alien ukiwamudu wanaanguka na chombo chao watu wanajua ni viumbe toka anga za mbali kumbe ni mifugo ya fulanifulani huko!.

Akinikubali nitampokea kwa damu ya yesu asikaze shipa hilo nitamvunja!😅
 
Back
Top Bottom