Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

Theb

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
3,927
Reaction score
7,276
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk.

1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka mshindi kwenye shindano lile. Japo nimechelewa kuandika huu uzi ila nadhani hata sasa sio mbaya

2. Hongereni washindi wengine namba 2, 3 na wengine wooote.

Wa mwisho kabsa ni wale wote waliopiga kura zao kwenye nyuzi za washiriki nao tuwape hongera kwa kushiriki kwao katika upigaji kura na kutoa maoni yao kwenye machapisho yetu washiriki.

Nihitimishe kwa kuwapa hongera viongozi wa Jamii forum.kwa kuanzisha hili shindano ni mwanzo mzuri na liwe endelevu itasaidia watu kuibua mambo mbali mbali yanayotuzunguka kwenye jamii zetu yenye kuhitaji utatuzi .
 
Upvote 15
Ungo! Haya mambo ya zamani mbona sikuhizi tunatumia alien ukiwamudu wanaanguka na chombo chao watu wanajua ni viumbe toka anga za mbali kumbe ni mifugo ya fulanifulani huko!.

Akinikubali nitampokea kwa damu ya yesu asikaze shipa hilo nitamvunja!😅
We mkorofi ashakuona ulivyo mzee baba
 
bora akimbie maana naona ananiwekea mchana hapa 😀 hajui kuwa mm nimama yake tena mama mkubwa
Akiona hiyo avatar anajua rika lake. Msamehe bure alikua hajui ila ashajua nadhani.
 
MFUMO USIWE WA KURA KUWE NA JUDGES TU,MPIGA KURA HAANGALII ISSUE ANAANGALIA MTU ANAMJUA? AU HUYO MTU NI POPULAR? WAWEKE JUDGES AMBAO NI WATAALAMU WA UANDISHI NA WATU WENGINE,ILA NI MAONI TU MAONI YANGU SIO SHERIA
 
N
MFUMO USIWE WA KURA KUWE NA JUDGES TU,MPIGA KURA HAANGALII ISSUE ANAANGALIA MTU ANAMJUA? AU HUYO MTU NI POPULAR? WAWEKE JUDGES AMBAO NI WATAALAMU WA UANDISHI NA WATU WENGINE,ILA NI MAONI TU MAONI YANGU SIO SHERIA
✍🏻✍🏻
 
Back
Top Bottom