Kweli nimeona watu wamelizungumzia hilo.....ngoja nijifunze kwa wenginePolee sana mkuu..lakini sio muandishi mzuri.sorry
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
We,ivi wamesema ni ban ukifupisha?Yaani sasa hivi lazima nijitahidi hata kuweka neno maana BAN siziwez
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kumpiga mama mkwe wangu una akili??Mlio karibu na huyu mpeni vibao tafadhari.
π..umejuaje? Ndo natokea kawe hiviπ π π Leo umekunywa mafuta ya mwamposa nn? Maana majibu yako hayajagi kistaarabu ivi
Nangojeaaaaa Kwa hamuuKumbe ulitaka usisimke mkuu,subiri nitakuja nayo
Aisee unanikwepa nkamu gwangu.Tukuyu ni kwa bibi nilitoka kitambo,mi naishi mbeya
Nipo bagamoyo cartex hapamkubwa