Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

Ahsante kwa kumshukuru na kumuenzi Babu (Baba) yako! Umefanya vyema!
 
Naombeni summary ya maneno kumi wakuu..nimeishia kwenye Nyanya.

Isome kama kisa tu kinachoelezea...

1. Kukataliwa
2. Malezi unaweza yapata popote si lazima kwa wazazi
3. Malafyale wanazaa sana, kama simbilisi (simbilisi mnyama jamii ya panya, nadhani kwa kimombo anaitwa guinea pig, hahah hii ni utani)

Unaweza soma kisa kingine hapa chini, kina shahabiana maudhui

Thread 'Nimelelewa na babu yangu aliekuwa mfanyakazi wa wakoloni' Nimelelewa na babu yangu aliekuwa mfanyakazi wa wakoloni
 
Ha ha haa,asante kwa kujali,asante kwa ufafanuzi kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…