Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

View attachment 2620115
View attachment 2620116

Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani nimevuga majoka. Kisha mimi niseme ni kwa neema tu za Bwana.

Nyumba inatakiwa kuwa bangaloo. Hizo picha mbili zinatakiwa ziungwe (merged) ili kuwa plan moja kali sana.

Pamoja na kuwa itakuwa ni single storey, sio ghorofa lakini inatakiwa kuwa ile upper canopy ya juu kwa ajili kutulia pale juu na kula mema ya nchi. Itafanyikaje,mimi sijui mafundi ndio wanajua.

Fundi mwenye uwezo wa kuweka hizo ideas kwenye ramani moja anakaribishwa tufanye biashara. Wakuu wa kutoa kasoro mnakaribishwa sana ili niweze kuwawakilisha wana Jukwaa la Ujenzi
Ni kweli unahitaji ushauri kwani hiyo ramani na elevation hiyo ni vitu viwili tofauti.
Uko serious au kusumbuana tu mkuu?
Ninaweza kukushauri ukatoa kitu kikali kuliko hicho.
Tena utajenga bila presha kabisa...ndio kazi zangu, nina wateja wadogo, wa kati na wakubwa.
 
Nilitaka kuandika kiwango kikubwa cha gharama nikaona mmh, kuna siku nilichambwa kuhusu hizi gharama. Watu wakasema kwa design ile 30m ingetosha, nikakaa kimya.

Kwa design hiyo(though hajaweka vipimo) hakika gharama sio haba.
Kuna watu wana asili ya ubishi hata kama hawajafanya tafiti.

Kuna nyumba najenga hapo Mjini, ni ya ground tu lakini nimeshatumia 135M hadi sasa.

Isingekuwa kujenga kwa awamu nisingeweza kutoboa
 
Ni kweli unahitaji ushauri kwani hiyo ramani na elevation hiyo ni vitu viwili tofauti.
Uko serious au kusumbuana tu mkuu?
Ninaweza kukushauri ukatoa kitu kikali kuliko hicho.
Tena utajenga bila presha kabisa...ndio kazi zangu, nina wateja wadogo, wa kati na wakubwa.
Weka idea zako mkuu tupate faida wote
 
Mkuu niko serious kushauriwa ndio lengo la kuleta hapa. Halafu kama umenisoma vizuri utaelewa hiyo elevation sio ya floor plan bali ni kutaka kuunganisha hizo ideas 2 ziwe kitu kimoja hasa kuifanya elevation ifit kwenye floor plan.

Kama tukielewa vizuri tunaweza kufanya kazi ya kupata ramani
 
Weka idea zako mkuu

Weka idea zako mkuu tupate faida wote
Mkuu kabla ya idea zangu ningemshauri mleta uzi kuwa aachane na hiyo floor plan haiendani na haitaendana na hiyo elevation.

Pili...japo floor plan haina vipimo lakini nyumba hiyo ya mchoro wa chini ni kubwa mnoo ukiangania mpangilio wa ndani na haijapangwa vizuri.

Tatu unapochukua ramani ni vizuri uelewe ni ujenzi wa wapi...
Ujenzi wa Tanzania na Kenya ni vitu viwili tofauti...Wakenya hawajali sana mvuto wa nje zaidi wanajali ndani tu.

Nne ikiwa atang'ang'ania hiyo ramani gharama zake nunauhakika hazimudu ni sawa na kujenga ghorofa la maana.

Ushauri wangu; atumie hiyo elevation iliyomvutia achorewe floor plan mpya sawa na mahitaji yake ya ndani.
 
Mkuu niko serious kushauriwa ndio lengo la kuleta hapa. Halafu kama umenisoma vizuri utaelewa hiyo elevation sio ya floor plan bali ni kutaka kuunganisha hizo ideas 2 ziwe kitu kimoja hasa kuifanya elevation ifit kwenye floor plan.

Kama tukielewa vizuri tunaweza kufanya kazi ya kupata ramani
Nimekuelewa na kuzidi mkuu:
Najua kusoma ramani za kila aina architectural na structural vizuri tu hata kuziandaa
 
Mkuu kabla ya idea zangu ningemshauri mleta uzi kuwa aachane na hiyo floor plan haiendani na haitaendana na hiyo elevation.

Pili...japo floor plan haina vipimo lakini nyumba hiyo ya mchoro wa chini ni kubwa mnoo ukiangania mpangilio wa ndani na haijapangwa vizuri.

Tatu unapochukua ramani ni vizuri uelewe ni ujenzi wa wapi...
Ujenzi wa Tanzania na Kenya ni vitu viwili tofauti...Wakenya hawajali sana mvuto wa nje zaidi wanajali ndani tu.

Nne ikiwa atang'ang'ania hiyo ramani gharama zake nunauhakika hazimudu ni sawa na kujenga ghorofa la maana.

Ushauri wangu; atumie hiyo elevation iliyomvutia achorewe floor plan mpya sawa na mahitaji yake ya ndani.
Asante sana mkuu. Kilichonitia woga kwenye hiyo elevation ni gharama kubwa ya kuotesha ghorofa. Ushauri wako ni muhimu
 
Mkuu niko serious kushauriwa ndio lengo la kuleta hapa. Halafu kama umenisoma vizuri utaelewa hiyo elevation sio ya floor plan bali ni kutaka kuunganisha hizo ideas 2 ziwe kitu kimoja hasa kuifanya elevation ifit kwenye floor plan.

Kama tukielewa vizuri tunaweza kufanya kazi ya kupata ramani
Ukinipa idea zako hasa kwa ndani iweje naichora upya mimi mwenyewe
 
✍️Sitting room
✍️Dinning room yenye bar
✍️Open kitchen yenye store ndogo
✍️Master bed room yenye WC na toilet
✍️Deck upande wa Master bed room
✍️Study/office room iwe karibu na Master bed room
✍️Two bed rooms kila mmoja na toilet yake

Elevation ibaki hii ila isiwe ghorofa. Zingatia kwamba hiyo canopy ibaki hivyo juu na chini pamoja na ngazi za kupanda juu. Sio lazima upper canopy kuwa ndefu kama hiyo. Paa la nyumba kupokea canopy liwe refu kidogo.

Hizo ideas ziwekwe kwenye hiyo elevation pamoja na maujanja yako
 
[emoji3578]Sitting room
[emoji3578]Dinning room yenye bar
[emoji3578]Open kitchen yenye store ndogo
[emoji3578]Master bed room yenye WC na toilet
[emoji3578]Deck upande wa Master bed room
[emoji3578]Study/office room iwe karibu na Master bed room
[emoji3578]Two bed rooms kila mmoja na toilet yake

Elevation ibaki hii ila isiwe ghorofa. Zingatia kwamba hiyo canopy ibaki hivyo juu na chini pamoja na ngazi za kupanda juu. Sio lazima upper canopy kuwa ndefu kama hiyo. Paa la nyumba kupokea canopy liwe refu kidogo.

Hizo ideas ziwekwe kwenye hiyo elevation pamoja na maujanja yako
Hapa umesomeka vizuri.
Note: ngazi za kupandia juu zitakua ndani
 
Back
Top Bottom