Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Duu aiseeKuna miji nilikuwa nafanyia kazi masuala ya upimaji wa viwanja. Nikakuta mpaka 300sqm. Kuwahoji inakuwaje wakanijibu simple tu, mwongozo wa wizara unaruhusu. Nikawa mpole. Hakika niliona sisi wabongo ni vituko, hatujifunzi kabisa
Ila wenye nyumba za uhakika ni Moshi mkuu
Yaani unakuta nyumba ina ardhi kubwa haswa hadi unasema hawa wanajua maisha na hawataki tabu
Unatembea hata mile nzima unakuta nyumba Tatu tu au 4