Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

Mp
View attachment 2620115
View attachment 2620116

Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani nimevuga majoka. Kisha mimi niseme ni kwa neema tu za Bwana.

Nyumba inatakiwa kuwa bangaloo. Hizo picha mbili zinatakiwa ziungwe (merged) ili kuwa plan moja kali sana.

Pamoja na kuwa itakuwa ni single storey, sio ghorofa lakini inatakiwa kuwa ile upper canopy ya juu kwa ajili kutulia pale juu na kula mema ya nchi. Itafanyikaje,mimi sijui mafundi ndio wanajua.

Fundi mwenye uwezo wa kuweka hizo ideas kwenye ramani moja anakaribishwa tufanye biashara. Wakuu wa kutoa kasoro mnakaribishwa sana ili niweze kuwawakilisha wana Jukwaa la Ujenzi
Aka leo hauna nyumba? Shame on you kinuka mkojo
 
Hujasoma ukanielewa.
My concern sio hiyo 250m uliyoitaja kuwa haitafika...but umetumia kigezo gani kuzipata?
Sijui jins yakuelezea zaid ili uelewe mkuu..
Hiyo sio Villa ya kawaida,ni mansion.
Kwa mtu yeyote anayejenga mara kwa mara akiona hiyo picha ni rahisi tu kukadiria gharama
Yote kwa yote mtoa mada ataamua mwenyewe kuamin kuwa atajenga kwa 40M, 70M , 150 M, 250M au 400 M.
Mi namtakia tu kila la.heri na ndoto yake ikatimie🙏
 
Ukijenga jumba lenye roof iliyoenda juu sana kama 90% ya nyumba zilizojemgwa Dodoma wewe ni MASIKINI FUKARA kabisa
 
Nimefurahi kuona ramani umeitoa kwa mtu wa 254 hawa watu wanashangaa sana kwanini tunajenga majumba yenye roof za kwenda juu na tukiulizwa tunasema kwa sababu ya joto.

Joto njombe?
Joto Mbeya?
Joto Mwanza?
Yani reason ya kimasikini
 
Wewe jenga nyumba yako, usiweke mawazo ya "itakuwa kali kuliko zote", hayo ni mawazo ya "masikini akipata".

Usichokijua ni kwamba, wakati unamalizia nyumba yako, possibility ya kuwepo ujenzi wa nyumba nyingine kali zaidi ni mkubwa coz kila siku watu wanakuja na designs nzuri kuliko za jana na juzi.

Kila la heri, ni pesa za kutosha hapo zinahitajika.
Haya mambo ya kubadilika desgn kila kukicha ndo yalinifanya nishindwe kabisa kujenga dream house kwa mda mrefu.

Kisingizio: sijapata pesa.

Maana Unajibana kujenga, Siku unahamia unajikuta umehamia nyumba ya kizamani unatamani kubomoa uanze upya[emoji4]
 
It's a standard house design, kwangu siongezi wala kupunguza kitu. Siku hizi kuna maswali kwa nini kuna public toilets karibu na sitting rooms, imekuwa kawaida.

Hapo kazi ni kupata boq ili ujue kwa design hiyo, mazingira yako, mfuko wako na factors zingine utaweza kuupandisha?

Ila kwa standard ya hiyo ramani, kama ni mjini Dar, inaweza kupita 50m na zaidi.
Kwa Hiyo picha,
Aandae kuanzia 100+ mil mpk finishing
Tena hapo kasimamia mpk penati
 
Haya mambo ya kubadilika desgn kila kukicha ndo yalinifanya nishindwe kabisa kujenga dream house kwa mda mrefu.

Kisingizio: sijapata pesa.

Maana Unajibana kujenga, Siku unahamia unajikuta umehamia nyumba ya kizamani unatamani kubomoa uanze upya[emoji4]
Siri ni moja, jenga plain design house.
Usikimbilie mafasheni yenu.

Ukienda nchi za scanfnavia kuna nyumba za 1905 yaani haichuji muonekano...siri..plain design
 
Nakubali atakua na nyumba kali,lakini hawezi kuwa na nyumba kali kuliko Wana jf wote...
Mkuu kuna watu Wana nyumba humu,hata miaka 100 mbele hatuwezi kuwa na nyumba kama wao na hawajioneshi.
Mkuu hao wa miaka 100 ni kina nani
 
Suala ni pesa.

Wengi wanataka kukaa kwao ila hela hakuna.

Nani anaweza nunua hiko kiwanja hapa Dar?

Unaenda Goba unaambiwa 50,000 kwa sqm.

Hizo heka 5 si utanunua kwa 300M?

Bei za viwanja zinatakiwa kushuka kwa kiwango kikubwa ili waweze nunua hizo ekari kubwa.
 
Siri ni moja, jenga plain design house.
Usikimbilie mafasheni yenu.

Ukienda nchi za scanfnavia kuna nyumba za 1905 yaani haichuji muonekano...siri..plain design
Plain design ndio umemanisha nn mkuu
 
Plain design ndio umemanisha nn mkuu
Plain design ni nyumba ambazo hazina urembo mwingi, na sio nyumba za fasheni.
Hizi nyumba muonekano wake ni presentable muda wote na hazichuji.

Mfano wa nyumba za ki scandnavia na miaka mingi ni kama hii hapa kwa picha
IMG-20230514-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom