Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Wasikutishe mkuu, hata 80 haifiki!Hata kama lakini sio 250m, hata 100m haiwezi kufika. Halafu huu ujenzi ni wa maeneo ya kawaida ambapo local materials ni nafuu halafu nabeba mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasikutishe mkuu, hata 80 haifiki!Hata kama lakini sio 250m, hata 100m haiwezi kufika. Halafu huu ujenzi ni wa maeneo ya kawaida ambapo local materials ni nafuu halafu nabeba mwenyewe.
Layout ya vyumba ni hopeless.View attachment 2620115
View attachment 2620116
Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani nimevuga majoka. Kisha mimi niseme ni kwa neema tu za Bwana.
Nyumba inatakiwa kuwa bangaloo. Hizo picha mbili zinatakiwa ziungwe (merged) ili kuwa plan moja kali sana.
Pamoja na kuwa itakuwa ni single storey, sio ghorofa lakini inatakiwa kuwa ile upper canopy ya juu kwa ajili kutulia pale juu na kula mema ya nchi. Itafanyikaje,mimi sijui mafundi ndio wanajua.
Fundi mwenye uwezo wa kuweka hizo ideas kwenye ramani moja anakaribishwa tufanye biashara. Wakuu wa kutoa kasoro mnakaribishwa sana ili niweze kuwawakilisha wana Jukwaa la Ujenzi
Unajua wewe jamaa utakuwa ni mpumbavu wa kiwango kikubwa sana. Badala ya kujadili mada unaleta shobo kwa mleta madaMkuu, mimi maogopa.
Nashauri huu uzi wako ungeufuta tu. Maana wewe kila unalotamani huwa haliwi na unalipinga ndiyo huwa.
Isije ukafa bure kabla haujamiliki unacho kitamani.
Si unakumbuka nyuzi zako kule Jukwaa la Michezo?
Huu ni ushauri tu, msela usijenge chuki
Kama kwenu hiyo ndiyo shobo basi poa tu acha iwe shobo😃.Unajua wewe jamaa utakuwa ni mpumbavu wa kiwango kikubwa sana. Badala ya kujadili mada unaleta shobo kwa mleta mada
Kila lakheri mkuu ila jiandae 450hadi 500m kuingia humo ndani Mm najuta sana why sikuanza na biasharaView attachment 2620115
View attachment 2620116
Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani nimevuga majoka. Kisha mimi niseme ni kwa neema tu za Bwana.
Nyumba inatakiwa kuwa bangaloo. Hizo picha mbili zinatakiwa ziungwe (merged) ili kuwa plan moja kali sana.
Pamoja na kuwa itakuwa ni single storey, sio ghorofa lakini inatakiwa kuwa ile upper canopy ya juu kwa ajili kutulia pale juu na kula mema ya nchi. Itafanyikaje,mimi sijui mafundi ndio wanajua.
Fundi mwenye uwezo wa kuweka hizo ideas kwenye ramani moja anakaribishwa tufanye biashara. Wakuu wa kutoa kasoro mnakaribishwa sana ili niweze kuwawakilisha wana Jukwaa la Ujenzi
Experience yako kwenye ujenzi ikoje mkuuKila lakheri mkuu ila jiandae 450hadi 500m kuingia humo ndani Mm najuta sana why sikuanza na biashara
Punguza shobo,jadili mada acha kukenua kenuaKama kwenu hiyo ndiyo shobo basi poa tu acha iwe shobo😃.
Acha nikutakie kila la heri usije ukasema nimekuchawia bure.
Nisamehe mkuu😃
Si nimekuomba unisamehe mkuu? Au mafundi wameshaanza kukuzingua?Punguza shobo,jadili mada acha kukenua kenua
Unawajuwa wa jf au unawasikia tu na kuwasoma humu, mkuu hwa jma wanamabangaloo, hawa jmaa wana magari sio vyombo vya usafr hwa jmaa vacation ni Dubai, Europe hpo hujagusa holday ni ibiza Spain huko hebu omba radhi mkuu sio kwa kibanda hcho maana hii nimereply nikiwa kwenye yachtAndaa millioni za kutosha kwa ajili ya ujenzi wa hiyo nyumba mzee baba.
Nicheki whatsapp 0756469532View attachment 2620115
View attachment 2620116
Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani nimevuga majoka. Kisha mimi niseme ni kwa neema tu za Bwana.
Nyumba inatakiwa kuwa bangaloo. Hizo picha mbili zinatakiwa ziungwe (merged) ili kuwa plan moja kali sana.
Pamoja na kuwa itakuwa ni single storey, sio ghorofa lakini inatakiwa kuwa ile upper canopy ya juu kwa ajili kutulia pale juu na kula mema ya nchi. Itafanyikaje,mimi sijui mafundi ndio wanajua.
Fundi mwenye uwezo wa kuweka hizo ideas kwenye ramani moja anakaribishwa tufanye biashara. Wakuu wa kutoa kasoro mnakaribishwa sana ili niweze kuwawakilisha wana Jukwaa la Ujenzi
Nyumba inayokaribia viwango anavyohitaji OKW BOBAN SUNZU , kuna rafiki yangu amejenga, wakati anaanza watu walimkatisha sana tamaa, kwa hizo prices kuna wa milioni 600, 400 hadi 250.Ukisikikiza maelezo toka jamii forrum unaweza ukaghairi kujenga na kwenda kujilipua baa[emoji23][emoji23][emoji23].
Mwingine anakwambia sijui milioni 600, mwingine milioni 300 mwingine milioni 250.yani kila mtu na lake[emoji23][emoji23]
Nyumba ya milioni 200 sio mchezo ndugu zangu.kuna ghorofa ipo kule mwanagati ni kali sana imejengwa na kampuni kabisa kwa gharama ya milioni 145.sembuse nyumba ya chini.unafunga nini humo ndani mpaka ifike iyo ela.
Msiongopeane jamani humu ndani.nyumba nyingi ni milioni 100 kushuka chini.ukijenga nyumba ya milioni 100 kwenda juu basi lazima iyo nyumba itajulikana na kila mtu kwa uzuri wake.
Kama mna mashaka na maelezo yangu basi tufanye kwa pamoja mchanganuo wa ujenzi kwa kutumia vifaa vya gharama kubwa zaidi.
Alikudanganya, nyumba kama ya huyu mwamba kwa viwango ilivyonavyo 70m haitoshi. Hajaweka vipimo lakini kwa design yake, idadi ya vyumba na mwonekano wa finishing hiyo nyumba kwa 70m haijaisha bado.Nyumba inayokaribia viwango anavyohitaji OKW BOBAN SUNZU , kuna rafiki yangu amejenga, wakati anaanza watu wakimkatisha sana tamaa, kwa hizo prices kuna wa milioni 600, 400 hadi 250.
Akatafuta engineer na kuanza ujenzi, akajipa muda wa kutosha ili ashiriki hatua kwa hatua na manunuzi ya vifaa,
Hadi nyumba inakuja kuisha na kuhamia ilimgharimu takribani shilingi milioni 70 tu
Ndiyo maana nikasema inayokaribia quality hiyoAlikudanganya, nyumba kama ya huyu mwamba kwa viwango ilivyonavyo 70m haitoshi. Hajaweka vipimo lakini kwa design yake, idadi ya vyumba na mwonekano wa finishing hiyo nyumba kwa 70m haijaisha bado.
Unajua sisi tunashindwa kutofautisha ujenzi, quality ya mabati nk, kuna mtu anapaua kwa 20m, wakati mwingine anapaua kwa 10m. QUALITY mkuu!!
Umenena mkuu. Bahati nzuri nina experience ya ujenzi mpaka sasa nina mijengo miwili imenisaidia kujua ukifanya zaidi ya hapo bajeti inaweza kuwaje. Pia kazi yangu inanifanya nijue ABC za masuala ya ujenzi. Kwa hiyo hao jamaa huwa hawanitishi kabisa.Ukisikikiza maelezo toka jamii forrum unaweza ukaghairi kujenga na kwenda kujilipua baa[emoji23][emoji23][emoji23].
Mwingine anakwambia sijui milioni 600, mwingine milioni 300 mwingine milioni 250.yani kila mtu na lake[emoji23][emoji23]
Nyumba ya milioni 200 sio mchezo ndugu zangu.kuna ghorofa ipo kule mwanagati ni kali sana imejengwa na kampuni kabisa kwa gharama ya milioni 145.sembuse nyumba ya chini.unafunga nini humo ndani mpaka ifike iyo ela.
Msiongopeane jamani humu ndani.nyumba nyingi ni milioni 100 kushuka chini.ukijenga nyumba ya milioni 100 kwenda juu basi lazima iyo nyumba itajulikana na kila mtu kwa uzuri wake.
Kama mna mashaka na maelezo yangu basi tufanye kwa pamoja mchanganuo wa ujenzi kwa kutumia vifaa vya gharama kubwa zaidi.
Ndio maana hata mimi mwanzo nilisema hiyo nyumba ni around 70m-80m. Huyo wa 250m sijui hata kama anajua bei ya nondoNyumba inayokaribia viwango anavyohitaji OKW BOBAN SUNZU , kuna rafiki yangu amejenga, wakati anaanza watu wakimkatisha sana tamaa, kwa hizo prices kuna wa milioni 600, 400 hadi 250.