Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

Mcheki mzabzab kazi inakua imeisha Kwa low budget
View attachment 2620115
View attachment 2620116

Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani nimevuga majoka. Kisha mimi niseme ni kwa neema tu za Bwana.

Nyumba inatakiwa kuwa bangaloo. Hizo picha mbili zinatakiwa ziungwe (merged) ili kuwa plan moja kali sana.

Pamoja na kuwa itakuwa ni single storey, sio ghorofa lakini inatakiwa kuwa ile upper canopy ya juu kwa ajili kutulia pale juu na kula mema ya nchi. Itafanyikaje,mimi sijui mafundi ndio wanajua.

Fundi mwenye uwezo wa kuweka hizo ideas kwenye ramani moja anakaribishwa tufanye biashara. Wakuu wa kutoa kasoro mnakaribishwa sana ili niweze kuwawakilisha wana Jukwaa la Ujenzi
 
Hio kwangu Ni banda la nguruwe

Plain design ni nyumba ambazo hazina urembo mwingi, na sio nyumba za fasheni.
Hizi nyumba muonekano wake ni presentable muda wote na hazichuji.

Mfano wa nyumba za ki scandnavia na miaka mingi ni kama hii hapa kwa pichaView attachment 2621775
Je, floor plan yake haichuji pia? Na vp kuhusu ghalama zake zikoje? Vyumba vinne kwa mfano
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu floor plan ni utashi wako.
Vitu ambavyo vitakufanya usiichoke
Muundo wa ndani ni ukubwa unaokidhi mahitaji yako ya ndani.

Mfano mpangilio wa;
-vyumba
-sebule na sehemu ya chakula na jiko nk

Gharama inategemea na ukubwa wa vyumba mkuu.

Ukiwa na ramani yenye vipimo ninaweza kukupa gharama sahihi.

Mimi ni mjenzi sipendi kukadiria hewani mkuu..makadirio yangu huongozwa na ramani husika

Kwani kuna rooms za size tofauti;
3.5x3.5m
3.2x3.5m
4x4m
4.5x4.2 na kadhalika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu floor plan ni utashi wako.
Vitu ambavyo vitakufanya usiichoke
Muundo wa ndani ni ukubwa unaokidhi mahitaji yako ya ndani.

Mfano mpangilio wa;
-vyumba
-sebule na sehemu ya chakula na jiko nk

Gharama inategemea na ukubwa wa vyumba mkuu.

Ukiwa na ramani yenye vipimo ninaweza kukupa gharama sahihi.

Mimi ni mjenzi sipendi kukadiria hewani mkuu..makadirio yangu huongozwa na ramani husika
Asante sana mkuu, ntakapokuwa tayari ntakuchek.
 
upper canopy ya juu kwa ajili kutulia pale juu na kula mema ya nchi. Itafanyikaje,mimi sijui mafundi ndio wanajua.
Hii kauli mkuu omba hekima ya Mungu sana yasijekukufika ya kukufika! Unakumbuka habari ya yule tajiri alisema akusanye vyote ghalani halafu aiambie nafsi yake, eeeh nafsi yangu tulia ule ulivyokusanya! Lakini Mungu akamwambia mpumbavu wewe usiku huu wanaitaka roho yako! Kwa hiyo mkuu usije ukavuka mipaka ukafikia hatua ya kukufuru!
 
Mkuu please usitake kutuharibia mada na complication zako. Kuna watu mnapenda sana kugeuza jambo dogo kuwa taharuki.
 
Nafikiri kuanzia 70m
Na kama umri umesogea, nyumba ya chini kubwa ni nzuri zaidi

Ili usije kuhangaika kupanda na kushuka
Uzee na gorofa hapana
Maana baadae utalazimika uwe unaishia chini tu [emoji1]
Huo ni uwongo wa mchana. Labda kama hujawahi kujenga ndio utaiona Milion 70 nyingi. Mpk hiyo nyumba iishe inavyotakiwa standard nahisi haitapungua milioni 200. Labda kama uamue ujenge chini ya kiwango ndio itapungua 150M.
 
Gharama za Ujenzi zipo juu sana, ili kuondoa doubt nimemshauri awe na kitabu cha kuandika gharama ya kila item atakayonunua huko site.
Hata kama lakini sio 250m, hata 100m haiwezi kufika. Halafu huu ujenzi ni wa maeneo ya kawaida ambapo local materials ni nafuu halafu nabeba mwenyewe.
 
Huenda lakini kwa ramani yako, gharama lazima zizidi hiyo 100M unayosema.

Gharama kubwa zitakuwa kwenye Msingi maana zitaenda nondo nyingi za 12mm pamoja na zege.

Ambapo litatumika Zege grade 20

Jitahidi ubageni vizuri na mafundi ila hakikisha standards zinafuatwa, kama design inaonesha nondo za 16mm please usiforce kutumia za 12mm

Na kama zege la grade 25 usiforce kutumia la G15
 
Back
Top Bottom