amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,834
- 4,161
Nisiwachoshe!
Nimezaliwa kwenye familia ya pangu pakavu tia mchuzi tule. Tupo watano, wote tumesoma Hadi elimu ya juu ila wenye kazi ya uhakika wa kipato yaani ajira maalumu ni watatu.
Mzee alistaafu miaka mitatu iliyopita na kufanikiwa kupata kiinua mgongo not less 50ml sasa hivi ni mwendo wa Apeche Alolo. Pia alifungua mradi wake wa kibanda cha Duka now ni mwendo wa Madeni japo tuna mbust ila ndo kama tumechochea gia ya Madeni.
Nyumbani amani hamna Maza na lake, Mshua na lake. Maza Madeni vikoba tunalipa mpaka basi lakini hataki kuacha kabisa ukimwambia ugomvi. Alikopa benki nusura Nyumba iuzwe tukaokoa jahazi.
Haya ndo maisha yetu tuna cha kujifunza

- Tuache anasa zilizopitiliza kesho ni fupi sana
- Tuwe na Akiba na vitega uchumi vya kutosha tusije umbuka uzeeni.