Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Yanga ndy alikuwa Bora sanaHaruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake.
Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa?
1. Yanga
2. Simba
Twende kazi______!
View attachment 2561681
Nane mara nyingine kumiAlichezaga namba ngapi Enzi zake huko Simba Na Yanga..?
Kwani mada inahusu mafanikio au inahusu uwezo wake binafsi?Yanga alikiwasha bila mafanikio yeyote. Huku kwetu alikutana na mafanikio wakaenda mpaka robo fainali
Timu msio na mafanikio mnapenda sana kujishtukia. Angefikaje robo bila kiwango kizuri. Zile goli za Chama AS Vita hukuona mapande ya Haruna?Kwani mada inahusu mafanikio au inahusu uwezo wake binafsi?
Hivi robo final ni mafanikio!! Hebu kuwa na akili timamu basi.Yanga alikiwasha bila mafanikio yeyote. Huku kwetu alikutana na mafanikio wakaenda mpaka robo fainali
Upate wapi akili ya kujua hilo. Kwa hiyo prize ya zaidi ya bilioni 1 ni nini?Hivi robo final ni mafanikio!! Hebu kuwa na akili timamu basi.
Robot final ni hatua tu sio mafanikio
Nadhani ukitoa hatua ya robo fainali,Mataji ya ndani aliyapata akiwa yangaIla mafanikio kayapata simba kuliko yanga.
Na mkabeba kombe la cafclYanga alikiwasha bila mafanikio yeyote. Huku kwetu alikutana na mafanikio wakaenda mpaka robo fainali