Niyonzima wa Yanga Vs Niyonzima wa Simba Yupi alikiwasha sana?

Niyonzima wa Yanga Vs Niyonzima wa Simba Yupi alikiwasha sana?

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Haruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake.

Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa?

1. Yanga
2. Simba

Twende kazi______!
3ACF3F34-E5BD-48C3-8766-D7A39A28DA4E.jpeg
 
Yanga alikiwasha bila mafanikio yeyote. Huku kwetu alikutana na mafanikio wakaenda mpaka robo fainali
 
Yanga alikiwasha bila mafanikio yeyote. Huku kwetu alikutana na mafanikio wakaenda mpaka robo fainali
Hivi robo final ni mafanikio!! Hebu kuwa na akili timamu basi.

Robot final ni hatua tu sio mafanikio
 
Hivi robo final ni mafanikio!! Hebu kuwa na akili timamu basi.

Robot final ni hatua tu sio mafanikio
Upate wapi akili ya kujua hilo. Kwa hiyo prize ya zaidi ya bilioni 1 ni nini?
Anyway, una shida acha nikujengee uwezo. Wewe unaposet malengo ya mwaka kwamba nitakuwa na nyumba ya 200m na ukafanikisha ni nini kama sio kufanikiwa objectives zako? Wengine kujenga za 1b inakuzuia wewe kutambua mafanikio yako? Simba walikuwa na malengo ya kufika robo, sasa tuite nini?

Najua wewe ni Team Hater kwa hiyo ukisikia mafanikio ya Simba roho inataka kutoka
 
Ila mafanikio kayapata simba kuliko yanga.
 
Back
Top Bottom