The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #101
Wewe na sukuma gang wenzako ndio kutwa kucha kuanzisha vi thread uchwara kuponda Serikali..Tafuta pesa ndugu Vyakula vipo tu hata nje ya nchi vitakuja tu kupitia wafanyabiashara wao uangalia gap wapi kuna mahitaji achana na mambo ya misimu. Kariakoo matunda yote mwaka mzima unapata bila kujali msimu toka hadi nje ya nchi.
Mwendazake alikuwa anafunga mipaka wakulima wakaishia kulia hovyo ..
Saizi Serikali imeachia biashara huru mazo yamepanda mumeanza kulinganisha bei wakati huo huo hamtaki Serikali izuie mazo kuuzwa nje kwa kisingizio cha kusema tafuta pesa.