Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

Ambacho watu hawakijui ni ukame ukiendelea watakaokufa ni wakulima na watu wa vijijini zaidi kuliko watu wa mijini, wakulima wadogo hawana akiba ya zaidi ya miezi 9, wa mijini wataishi kwa ujanja ujanja, Kijiji hakina ujanja
 
Habari za mida..

Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.

Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.

Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.

Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.

Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.

Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.

Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
wazuie ili iweje? unajua kilimo wewe? kalime uone acha wakulima nao waneemeke
 
Umetumwa na ndugai niñi? Mama amehimiza atamlinda mkulima kwa nguvu zote Pamoja na kurusu soko huria-willing buyer willing seller.Kazi iendelee. Zanzibar oyee.
 
Kwani wakati nalima serikali ilinisaidia nn au ww unaetaka serikali iweke zuio ulinisaidia nn? wacha tuuze tunakotaka. hii nchi ni ya kibepari. tusipangiane cha kufanya. wakati nalima ww upo mjini unabadili style za kunyoa viduku na starehe. saivi huna hela ya kununua chakula unasema serikali izuie kuuzwa mazao nje. serikali inajali wakulima na ndo maana haijazuia uuzwaji wa mazao nje ya nchi ili kuwanufaisha wakulima. let's enjoy the showww
 
Umetumwa na ndugai niñi? Mama amehimiza atamlinda mkulima kwa nguvu zote Pamoja na kurusu soko huria-willing buyer willing seller.Kazi iendelee. Zanzibar oyee.

Hahahaaa zanziba imeingiaje hapo kama si uchochezi.
 
Habari za mida..

Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.

Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.

Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.

Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.

Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.

Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.

Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Kwa kweli mleta mada mi sijajua ni utoto au utu uzima uliopitiliza yaan wakulima wanateseka na kupambana na hali ngumu na ghalama kubwa ya mbolea na madawa bila msaada halafu we unaleta ufahamu wako wa kwenye kijiko cha chai wasirusiwe kuuza chakula. Wengine matusi na kudharauliwa huwa mnataka wenyewe. Mvua wakati zinanyesha we hukuziona acha utoto basi tusije wakulima tukakwambia huna akili ukasema tumekutuna bure?
 
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa
Hakuwezi kuwa na njaa. Serikali ina mahindi mengi kwenye ghala za kuhifadhia chakula.
In the mean time wacha wakulima wapige pesa. Wewe ambaye ulichagua kutokulima, mwaka huu baada ya kuisoma namba huenda mwakani nawe ukapinda mgongo kulima. Ulishaambiwa kuwa jembe halimtupi mkulima...
 
Yaani mleta mada anaona kazi ya mkulima ni kumlisha tu yeye hata kama anapata hasara.
 
Habari za mida..

Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.

Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.

Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.

Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.

Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.

Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.

Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Utakula urefu wa kamba yako.
Mimi ninunue au nikodi kipande cha ardhi, nichukuwe mkopo benki,nilime shamba ninunue mbolea,nipande, wakati mwingine niweke miundo mbinu ya umwagiliaji,nipalilie,nipulizie dawa ya kuuwa wadudu,nilinde mazao nivune,niyachake harafu atakuja Karume Kenge eti serikali izuie nisiuze mazao nje?
Acheni uvuvi,acheni kula bila kunawa,Mjomba Magu alituusia kuwa fanya kazi kwa bidii na ufasaha no free lunch.
 
Mteta post Tafuta hela Acha kulialia,ukiwa na pesa hata kilo moja ya mchele ikiwa 10,000/ tutanunua tu, WANYONGE ndiyo wataisoma namba.
 
Tafuta pesa ndugu Vyakula vipo tu hata nje ya nchi vitakuja tu kupitia wafanyabiashara wao uangalia gap wapi kuna mahitaji achana na mambo ya misimu. Kariakoo matunda yote mwaka mzima unapata bila kujali msimu toka hadi nje ya nchi.
 
Habari za mida..

Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.

Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.

Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.

Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.

Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula.

Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.

Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Kalime were upeleke serekalini izuiwe waache wakulima wengine wauze wanakopata faida warudishe production costs
 
Kwanini wazuie?

Yani Mkulima ahangaike kulima kwa tabu halafu umpangie bei na mahali pa kuuza ?

Sema waouzie serikali kwa bei ya soko ya sasa maana badae itapanda zaidi kuliko sasa.
 
Msije kuanza kumlaumu Samia kwamba Bei zimepanda maana mna midomo Sana nyie.
 
kwani serikali inawasaidia nini wakulima?kila siku hawanunui kujaza maghala

Stakabadhi gharama ni mtihani mkubwa Kwa mkulima.

Unakopwa bila riba na hujui utalipwa lini.

Halafu bei unapangiwa [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kwanini wazuie?

Yani Mkulima ahangaike kulima kwa tabu halafu umpangie bei na mahali pa kuuza ?

Sema waouzie serikali kwa bei ya soko ya sasa maana badae itapanda zaidi kuliko sasa.
Chakula kichache sana..maeneo mengi wamevuna kidogo..bado chakula kina toka nje ya nchi..unategemea nini kama sio kuanza kwa kelele za njaa kwa wananchi.

Inshu sio bei inshu ni chakula kichache mwaka huu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom