Pre GE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MGONJWA ANAPEWA UJI ILA MKALI HUYOOO🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 KIDOGO TU ANATISHIA KUJIUA SAIZI HATUSTUKI TUPO ZETU SEBLENI TUNAJINYWEA GAKHAWAA🤣 MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE KAMA VICHAA WALOOMA JALALA JIPYA
Umeandika ?!
 
Mnajihami 😂 chama kishajifia siku nyingiiii laana ya JPM inawatafuna saizi mnajiuma wenyewe.. wananchi ndo wataamini sasa kwamba hakuna mpinzani wa kweli tz🤣
We mpuuzi JPM alikuwa mungu wako?
 
Ni vyema mmelitambua hili kungali mapema.
Mahasimu wenu watatumia kila nafasi mtakayo wapa nyinyi wenyewe kuwadhoofisha na kuwavuruga.

Mkivuka hili kwa usalama kabisa, mtakuwa mmewaonyesha waTanzania ukomavu wenu; na kama mtafanya uamzi sahihi wa kuwapata viongozi wapya wa chama, basi safari yenu mpya ya mategemeo nayo itakuwa imeanza.

Kumbukeni, kazi kubwa iliyo mbele yenu ni kuwaondoa CCM madarakani; hili halitawezekana kama mtabaki na viongozi ambao wanaamini wao ni CCM mbadala wa ile ile iliyopo madarakani.
 
Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani.Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana. Viongozi na wagombea
Lakini fahamu pia kuwa kujuwa njama na kuzitoa, haitoshi.

Ni lazima mjipange vizuri kuzizuia njama hizo.
Ombeni michango ya mawazo namna nzuri ya kuwabana hao wenye njama wasiwavuruge.

Mimi mchango wangu ni huu:
Kwa kila mkusanyiko wa wanachama wenu na viongozi, ni lazima pawepo na watu wenu maalum wanaojuwa kinacho endelea kwenye mikusanyiko yenu yote.
Wawepo watu wanao tambulika waziwazi kuwa wanafanya kazi hiyo kwenye mikutano, na pia pawepo na timu" ninja" isiyo tambulika.

Silaha kuu ya hawa wote ni kamera za simu zao. Kila atakaye anza vurugu ni lazima aonekane na kumbukumbu iwepo ya tukio husika.

Msifanye mzaha, kubeza au kudharau. Hali upande wa pili ni ngumu zaidi kwa hiyo watataka kupata ahueni ikiwezekana kuhamishia baadhi ya matatizo yao kwenu.
 
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma

Taarifa kamili hii hapa

Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani. Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana.

Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.

Kumbukeni kuwa Chadema imepevuka kutoka kuwa Chama cha wanachama na kuwa taasisi ya umma.Watanzania wana imani na matumaini na Chadema. Kila mmoja ashiriki kuilinda taasisi hii ikiwa ni chombo cha Demokrasia, Haki, Uhuru, Mabadiliko, Utu na Maendeleo ya Watu.

View attachment 3180602View attachment 3180603

Ujumbe: Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Kikubwa uongozi akiwemo mnyika mwenyewe akutane mara kwa mara na wagombea Ili kuelekezana mambo ya kufanya Ili kuepusha vurugu, pia mnyika awaombe wagombea kuongea na wafuasi wao kuepusha lugha za matusi, kejeli na kashfa dhidi wa wagombea wenzao ndani ya chama
 
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma

Taarifa kamili hii hapa

Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani. Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana.

Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.

Kumbukeni kuwa Chadema imepevuka kutoka kuwa Chama cha wanachama na kuwa taasisi ya umma.Watanzania wana imani na matumaini na Chadema. Kila mmoja ashiriki kuilinda taasisi hii ikiwa ni chombo cha Demokrasia, Haki, Uhuru, Mabadiliko, Utu na Maendeleo ya Watu.

View attachment 3180602View attachment 3180603

Ujumbe: Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Upuuzi ni mwingi sana kipindi hiki uchaguzi wa chadema mambo yanaonekana hadharani tulikuwa tunapigia kelele kila siku hakuna upinzani ila kuna wachumia tumbo bila mfumo kuingilia!
 
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma

Taarifa kamili hii hapa

Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani. Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana.

Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.

Kumbukeni kuwa Chadema imepevuka kutoka kuwa Chama cha wanachama na kuwa taasisi ya umma.Watanzania wana imani na matumaini na Chadema. Kila mmoja ashiriki kuilinda taasisi hii ikiwa ni chombo cha Demokrasia, Haki, Uhuru, Mabadiliko, Utu na Maendeleo ya Watu.

View attachment 3180602View attachment 3180603

Ujumbe: Shetani hajawahi kumshinda Mungu
YAANI MMESHINDWANA WENYEWE MNAANZA KUSINGIZIA MFUMO ? HIYOSACCOS YA MBOWE IMESHACHOKWA
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma

Taarifa kamili hii hapa

Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani. Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana.

Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.

Kumbukeni kuwa Chadema imepevuka kutoka kuwa Chama cha wanachama na kuwa taasisi ya umma.Watanzania wana imani na matumaini na Chadema. Kila mmoja ashiriki kuilinda taasisi hii ikiwa ni chombo cha Demokrasia, Haki, Uhuru, Mabadiliko, Utu na Maendeleo ya Watu.

View attachment 3180602View attachment 3180603

Ujumbe: Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Watanzania gani wenye matumaini na genge la wahuni?

Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya Watanzania, Pambaneni mpate ruzuku mshibishe matumbo maisha yaendelee.
 
Masikini wanawaza kula tu
 
wAAYu9E.jpg
 
Mnyika angeanza kwanza na kina Ntobi, MMM, Boniyai na Yericko. Hao wanatukana yeyote atakayempinga Sultani Mbowe na hawachukuliwi hatua. Haihitaji kuwa Sheikh Yahya kujua kwamba ngumi zitapigwa kwenye uchaguzi wenu. Mimi naona mpigane tu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom