Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Ulimbo soma hii fomu ya maalim SEIF Rais mtaraiwa wa ZANZIBARI labada akili yako itakukaa sawiaHii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
======
Mbona fomu ni rahisi na imejazwa vizuri? Tatizo liko wapi? Tume inataka kuleta machafuko bure.Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
======
Wewe! Tazama hiyo fomu. Ametia sahihi 07/09/2020. Usipende kupotosha makusudi.Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Tazama fomu iliyojazwa. Amesaini 07/09/2020.Ngumu kumeza. Siwabadilishe tu hiyo saba kuwa tisa?
CCM wanakanyaga katiba. Tuwakatae na kuwachukia.Tume na ccm yenu acheni ushamba na ulimbukeni wenu wa kihutu , wenye mamlaka ya kumkata mgombea ni wananchi peke yake sio tume Wala muweka pingamizi . Wananchi ndio wanaamua Nani wanataka Nani hawamtaki , tume kazi yake ni kusimamia uchaguzi tu sio kupitisha au kuengua wagombea.View attachment 1565994
Unamakengeza! Soma tena, ni 07/9/2020Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Kwa hiyo ni haki na halali kabisa upinzani kuwawekea pingamizi wagombea wa CCM lakini upinzani wakiwekewa pingamizi ni kukandamiza demokrasia na kuchezea uchaguzi?Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
======
Mwatafuta pa kushika?
Tarehe ipo sawa 7-9-2020.Hata mimi nauliza hilo swali, wapi amekosea?
Amekosea tareheKwa fomu hii kakosea WAPI?
Kama Tume huwa wanapokea pingamizi lolote tu, basi tatizo ni hizi Tume za ki Jechajecha?
Naanza kuhisi kuwa hata kule kubweka bweka kwa Kamanda Siro, ilikuwa ni kujiandaa kwa ujinga kama huu.
Kama alivyokuwa akifanya Hitler.
Ndio hayo hayoZanzibar Kuna Mambo gani makubwa zaidi ya kusaini fedha za mahoteli na kuratibu tamasha la utamaduni??
Kwahiyo huyu Mabeyo Msukuma wa Masanzakona, aliye mwadilifu kwa mkuu wake ndo unategemea aje kuunga mkono huu ujinga wenu, wa kutaka kuiingiza nchi kwenye machafuko😳??Magufuli ana nguvu au wanajeshi ndio wana nguvu
AMENCCM wanakanyaga katiba. Tuwakatae na kuwachukia.