Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Hiyo fomu imeeditiwa baada ya kutoa photocopy ya photocopy .Mleta mada umechemka usidhani kila mtu mjinga humu .Ushahidi wa alichokosea kiko kwenye original
 
Ninashaka na elimu ya maalimu seif mbona kama chekechea au anayo degree ya Quran ataweza kusaini mikataba huyu,hapana akapumzike 77 ni babu kabisa.
Watoto mna shida sana. Mnapenda mambo ya vyeti siyo? Haya nenda UDSM kaulize GPA aliyopiga maalim Seif ilichukua miaka mingapi kuja kuvunjwa
 
Kelele za nini sasa? Nyinyi mmeweka mapingamizi pia, kwa hiyo mkiwekewa mapingamizi msilalamike; ndio mchakato wenyewe! Acheni sheria ichukue mkondo wake
 
Natamani Wazanzibar watuletee kichwa cha mwenye tume kwenye kisahani!
 
Asubuhi tuliambiwa kuwa VHADEMA imehujumiwa kunyimwa kibali cha kurusha helicopta kwa njama; TCAA ikaleta fact za kisheria kuonyesha kuwa walichofanya ni kwa mujibu wa sheria. Sasa tusubiri tume nayo ilete facts zao kisheria ndipo tuzijadili kama zina mantiki. Yote iliyoko hapa sasa hivi ni hisia ambazo hazijatoa ushahidi wowote wa kisheria.
 
Uzeeeeeee
 


Hawa CCM inaonekana wamechanganyikiwa hasa kule Zanzibar waliufuta uchaguzi 2015 bila aibu. Wakaachiwa serikali peke yao bado wameshindwa kutengeneza mazingira mazuri , wamejisahau miaka 5 sasa hivi wantaka kuleta maafa na hii ni aibu kwa serikali ya mapinduzi na serikali ya muungano ya Tz . Magufuli anajisifu kafanya mambo makubwa sasa ni kipi wanaogopa uchaguzi ?
Halahala maafa tunayatafuta .
 
Nahisi ni kutokuwa na team work ya kazi kwa maalim,kwani mapingamizi mengi ya ngazi ya udiwani ,ubunge ya bara yalikuwa ni ya staili hiyo.kiapi ni pale siku ya kurejesha ndio una saini.
labda kama walimuandikia tarehe halafu wakamuacha asaini maana fomu yake alipangiwa muda pekee wa kwenda kuchukua.
 
Vipi hapa Angalia letter head
 
habari imerushwa ,nimeona kwa TBC na UTV.
Hapa tunapiga ramli tu. Mara kiapo kimeandikwa 7-7-2020 mwingine anasema kimeandikwa 7-9-2020. Na pia tamko la ACT kuhusu pingamizi lililoelekezwa kwa Maalim Seif lipo kiujumlajumla na halionyeshi pingamizi linahusu kitu gani!
 
Kuna machafuko yanataka kutengenezwa kwa nguvu
 
A) Pingamizi halina mashiko!
B) Wazanzibari Wana alternative B, ambaye pia sio Hussein Mwinyi!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…