Tetesi: Njama za kuwavua Uwakili waliofungua kesi kupinga Mkataba wa Milele wa Bandari zavuja ni kama ile iliyomkuta Fatuma Karume

Ujiandae kisaikolojia watashindwa hiyo kesi ata wakiwa 1000 kwa hoja zao dhaifu sio kwa sababu ya hujuma.

Eti mkataba wa IGA auwezi vunjwa, wakati nchi kama uingereza unaweza vunja mkataba kwa kigezo cha ‘frustration’.

Utadhani ni that simple, frustration ina mambo matatu.
(i) impossibility
(ii) subsequent illegality
(iii) Radical changes in circumstances

(i) and (iii) ni matukio ambayo hayakutarajiwa na yapo nje ya uwezo wa pande moja wa mkataba.

Mfano

(i) impossibility: Tsunami imepiga na kuharibu eneo la bandari kiasi kwamba uwekezaji uliopangwa gharama zake zinaweza ongezeka mara dufu tofauti na makubaliano.

(iii) Radical changes of circumstances; nchi imeingia vitani, mwekezaji kwa kuhofia usalama wa investment na maisha yake anaweza jitoa.

Hiyo number mbili “subsequent illegality’ ni exclusion clause aina tofauti na stabilisation clause kinga dhidi ya political risks na breaches za kujiamulia; ambayo wameelezea kwenye 23 (4) taratibu zake.

Na kama sheria za uingereza yote hayo yanafafanuliwa kupitia case laws, sio mambo ya kudhania kutoka kichwani.

Ni genge la watu wanaopiga kelele tu na kuunga unga hoja; kwenye vichwa vyao wakidhani wanaongea mambo ya maana kweli na wenzao huko serikalini awajui lolote.
 
Walioitwa na DCI wamekwenda au wameikimbia nchi?
 
Safi,watavuliwa harafu waone moto
 
Bush lawyer😆😆
 
Na wewe utafaidika na nini wakivuliwa? Roho mbaya tu.

Jibuni hoja zao sio kuwavua heshima zao.
Wakome kukwamisha mipango ya Maendeleo ya Nchi nyumbu wakubwa hao.

Mdomo ukitumiwa vibaya huponza kichwa,tumia vizuri ulimi wako kwamba unaweza shindana na Serikali unajikuta una Haki saaaaana
 
Wakome kukwamisha mipango ya Maendeleo ya Nchi nyumbu wakubwa hao.

Mdomo ukitumiwa vibaya huponza kichwa,tumia vizuri ulimi wako kwamba unaweza shindana na Serikali unajikuta una Haki saaaaana
Hawapambani na serikali bali wanataka majibu tu.
Mbona ni kitu rahisi.....toeni majibu tu
 
Utaratibu wa namna hiyo mbona utakuwa kama wa kitumwa?

Huyo mwenye madaraka makubwa kiasi hicho, yeye yupo juu ya sheria?

Na hawa mawakili wote Tanzania watakubali vipi ujinga wa namna hiyo, tena kwenye karne hii ya ishirini na moja?

Hao wanaochukua hatua hiyo, hawaoni kuwa hatua hiyo ikichukuliwa itaonekana dhahiri kuwa jambo zima la Bandari ni hujuma kwa taifa letu?

Baada ya maswali yote hayo, niseme kwamba siamini hayo yanayoelezwa kwenye mada hii.
 
Wakome kukwamisha mipango ya Maendeleo ya Nchi nyumbu wakubwa hao.

Mdomo ukitumiwa vibaya huponza kichwa,tumia vizuri ulimi wako kwamba unaweza shindana na Serikali unajikuta una Haki saaaaana
The 'skunk is back!
Nilifikiri kupotea kwa muda humu JF kutakuwa kumekusaidia kuondoa uchafu na harufu mbaya, kumbe hali bado ni ile ile?

Watakoma wanaotafuta kutupeleka katika utumwa mpya katika karne hii.
 
The 'skunk is back!
Nilifikiri kupotea kwa muda humu JF kutakuwa kumekusaidia kuondoa uchafu na harufu mbaya, kumbe hali bado ni ile ile?

Watakoma wanaotafuta kutupeleka katika utumwa mpya katika karne hii.
Serikali kata ngebe na kiburi Chao hao wapuuzi
 
Serikali kata ngebe na kiburi Chao hao wapuuzi
Subiri uone kitakachotokea kama hiyo serikali unayoihimiza haitaingiwa na akili kichwani na kuachana na ujinga huu unaoupigia kelele hapa bila kujua nini unakipigia kelele.
Watu wengine mmeumbwa kuwa kama vinyago tu, hamna manufaa yoyote maishani mwenu kwenu wenyewe na jamii mnamoishi.
Bure Kabisa
 
Mtashighulikiwa Hadi akili ziwakae sawa..

Unadhani Mimi ni wale mnashikiwa akili yaani Mimi nifurahie Washenzi wachache wananufaika na upigaji wa bandarini.

Ni hivi Serikali inaendelea smoothly na Mpango wake sana sana mtaumia Bure na Mimi ningekuwa kwenye capacity hiyo ningewashughulikia mara Moja kama Jiwe alivyokuwa anafanya ,mnamuona Samia mpole si ndio?

Nchi inahitaji pesa sio vimaneno vyenu.
 
Miaka ya binadamu Ni 70, ikizidi Sana Ni 77 zaidi ya hapo Ni ubatili.
MTU ana miaka 60 anaeaini mkataba wa hovyo usio na ukomo. MTU huyo huyo ana mke na watoto na wajukuu. Kama hajengi misingi ya wajukuu zake kuwa watumwa kwenye nchi Yao, Ni nini anachofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…