Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Wiki ijayo tutaweka hadharani majina yaoMbona wanahangaika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki ijayo tutaweka hadharani majina yaoMbona wanahangaika?
Twambie nyie akina DCI mmewapokea vipiWalioitwa na DCI wamekwenda au wameikimbia nchi?
HakikaKuna mawakili wengi mno hiyo kesi haitokosa wa kuisimamia.
Hoja hapa ni kubadili mkataba tu au kuufuta kabisa.
Safi,watavuliwa harafu waone motoTaarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani.
Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma Karume ndio iliyopendekezwa kutumika kuwashughulikia hawa wengine.
Bali Alphonce Lusako ametahadharisha kwamba hata wakihujumu baadhi yao bado kuna Mawakili zaidi ya 67 wanaosimamia Kesi hiyo .
Tutaendelea kufichua kila njama zinazopangwa na Mamluki dhidi ya Wazalendo .
Usiondoke JF
Bush lawyer😆😆Ujiandae kisaikolojia watashindwa hiyo kesi ata wakiwa 1000 kwa hoja zao dhaifu sio kwa sababu ya hujuma.
Eti mkataba wa IGA auwezi vunjwa, wakati nchi kama uingereza unaweza vunja mkataba kwa kigezo cha ‘frustration’.
Utadhani ni that simple, frustration ina mambo matatu.
(i) impossibility
(ii) subsequent illegality
(iii) Radical changes in circumstances
(i) and (iii) ni matukio ambayo hayakutarajiwa na yapo nje ya uwezo wa pande moja wa mkataba.
Mfano
(i) impossibility: Tsunami imepiga na kuharibu eneo la bandari kiasi kwamba uwekezaji uliopangwa gharama zake zinaweza ongezeka mara dufu tofauti na makubaliano.
(iii) Radical changes of circumstances; nchi imeingia vitani, mwekezaji kwa kuhofia usalama wa investment na maisha yake anaweza jitoa.
Hiyo number mbili “subsequent illegality’ ni exclusion clause aina tofauti na stabilisation clause kinga dhidi ya political risks na breaches za kujiamulia; ambayo wameelezea kwenye 23 (4) taratibu zake.
Na kama sheria za uingereza yote hayo yanafafanuliwa kupitia case laws, sio mambo ya kudhania kutoka kichwani.
Ni genge la watu wanaopiga kelele tu na kuunga unga hoja; kwenye vichwa vyao wakidhani wanaongea mambo ya maana kweli na wenzao huko serikalini awajui lolote.
Na wewe utafaidika na nini wakivuliwa? Roho mbaya tu.Safi,watavuliwa harafu waone moto
Wakome kukwamisha mipango ya Maendeleo ya Nchi nyumbu wakubwa hao.Na wewe utafaidika na nini wakivuliwa? Roho mbaya tu.
Jibuni hoja zao sio kuwavua heshima zao.
Hawapambani na serikali bali wanataka majibu tu.Wakome kukwamisha mipango ya Maendeleo ya Nchi nyumbu wakubwa hao.
Mdomo ukitumiwa vibaya huponza kichwa,tumia vizuri ulimi wako kwamba unaweza shindana na Serikali unajikuta una Haki saaaaana
Utaratibu wa namna hiyo mbona utakuwa kama wa kitumwa?Taarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani.
Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma Karume ndio iliyopendekezwa kutumika kuwashughulikia hawa wengine.
Bali Alphonce Lusako ametahadharisha kwamba hata wakihujumu baadhi yao bado kuna Mawakili zaidi ya 67 wanaosimamia Kesi hiyo .
Tutaendelea kufichua kila njama zinazopangwa na Mamluki dhidi ya Wazalendo .
Usiondoke JF
Majibu waliyonayo vichwani mwao ndio hayo yanasababisha wapinge majibu ya serikaliHawapambani na serikali bali wanataka majibu tu.
Mbona ni kitu rahisi.....toeni majibu tu
The 'skunk is back!Wakome kukwamisha mipango ya Maendeleo ya Nchi nyumbu wakubwa hao.
Mdomo ukitumiwa vibaya huponza kichwa,tumia vizuri ulimi wako kwamba unaweza shindana na Serikali unajikuta una Haki saaaaana
Serikali kata ngebe na kiburi Chao hao wapuuziThe 'skunk is back!
Nilifikiri kupotea kwa muda humu JF kutakuwa kumekusaidia kuondoa uchafu na harufu mbaya, kumbe hali bado ni ile ile?
Watakoma wanaotafuta kutupeleka katika utumwa mpya katika karne hii.
Ni huyo huyo anayetaka kuliingiza taifa la tanganyika katika shimo lisilo na pakutokea .Nani huyo mwenye mamlaka ya kumvua uwakili wakili?
Subiri uone kitakachotokea kama hiyo serikali unayoihimiza haitaingiwa na akili kichwani na kuachana na ujinga huu unaoupigia kelele hapa bila kujua nini unakipigia kelele.Serikali kata ngebe na kiburi Chao hao wapuuzi
Mtashighulikiwa Hadi akili ziwakae sawa..Subiri uone kitakachotokea kama hiyo serikali unayoihimiza haitaingiwa na akili kichwani na kuachana na ujinga huu unaoupigia kelele hapa bila kujua nini unakipigia kelele.
Watu wengine mmeumbwa kuwa kama vinyago tu, hamna manufaa yoyote maishani mwenu kwenu wenyewe na jamii mnamoishi.
Bure Kabisa