Hiyo ni "contradiction", maneno yako yanakinzana, uchawi na dini wapi na wapi?Wachawi Ni wengi mno Tena wafia dini
Wameanza kulialia baada ya kuona wameshindwa kabla hata ya kesi kuanza. Waliifungua kw amihemko ya wanaharakati bila facts. Ndo mana hata akina tundu lisu hawezi kuthubutu kwenda mahakamani kujidhalilisha mana wanajua wanapiga Domo to kitu ambacho hakipo.Taarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani.
Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma Karume ndio iliyopendekezwa kutumika kuwashughulikia hawa wengine.
Bali Alphonce Lusako ametahadharisha kwamba hata wakihujumu baadhi yao bado kuna Mawakili zaidi ya 67 wanaosimamia Kesi hiyo .
Tutaendelea kufichua kila njama zinazopangwa na Mamluki dhidi ya Wazalendo .
Usiondoke JF
Nyie kweli ni mangedere, mnatumia huu uzushi wenu km defence mechanism, nyie kweli vilaza hizo ni mbinu za kitoto. Tii sheria bila shuruti hakuna mwenye muda na kima km hao hawana madhara yoyote waropokaji wazushi tu na wanaelewekaUmezidiwa hoja kabisa. Kwani kulewa ni kosa kisheria? Serkali si inachukua kodi kwa vileo?
Iweke orodha ya walevi kutoka kwenu na clip zao? Wengine wakiwa bungeni au kwenye mikutano?
Mbinu gani hiyo? Fatuma si alimtukana Jaji Feleshi kwa Kisukuma?Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma Karume ndio iliyopendekezwa kutumika kuwashughulikia hawa wengine.
Emu andika hapa hicho kisukumaMbinu gani hiyo? Fatuma si alimtukana Jaji Feleshi kwa Kisukuma?
Hakuna wakuogepewa isipokuwa Allah tu.Nani atamuogopa Kingai ?
Shangazi emu andika vizuri sijakuelewaHakuna wakuogepewa isipokuwa Allah tu.
haya watupe mrejeho, ujuba utabaki vilevile au kutakuwa kuna "governor" imewekwa.
Si kitu kama hujanielewa, wapo watakaoelewa.Shangazi emu andika vizuri sijakuelewa
✍️
Aisee...Hapo hapana. Ninamfahamu vizuri sana huyu Mwabukusi. Ninatoka kijiji kimoja na Mwabukusi. Ninalijua shina la ukoo wake. Siyo mlevi kama ulivyoandika. Ni dhambi unajitafutia bila sababu ya maana. Kama Mwabukusi amekuzidi hoja, jipange kwanza then urudi hapa kujibu hoja za Mwabukusi.
In vinno veritasKwa kweli kwa ulevi wa chapombe Mwabukusi hapaswi hata kusikikizwa na mtoto wa nasare.
Unaandika Nasare halafu unamkosoa Mwabikusi. Utakuwa Ngumbaru weweKwa kweli kwa ulevi wa chapombe Mwabukusi hapaswi hata kusikikizwa na mtoto wa nasare.
Kwa ni siku hizi kuwa na masters degree ndo Ngumbaru mkuu?Unaandika Nasare halafu unamkosoa Mwabikusi. Utakuwa Ngumbaru wewe
Aliwahi kuwa Rais wa TLSFatuma Karume hatuhusu ni mzanzibar hatuhusu wanaotuhusu ni watanganyika kwanza hata swala la bandari amekuwa kimya.
Na leo yametimia.... laana na iwafikie na kizazi chao haya majiziTaarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani.
Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma Karume ndio iliyopendekezwa kutumika kuwashughulikia hawa wengine.
Bali Alphonce Lusako ametahadharisha kwamba hata wakihujumu baadhi yao bado kuna Mawakili zaidi ya 67 wanaosimamia Kesi hiyo .
Tutaendelea kufichua kila njama zinazopangwa na Mamluki dhidi ya Wazalendo .
Usiondoke JF