Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Taifa lenye kikongwe linafahamika tunashukuru kwa taarifaSijataja nchi wala Rais husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa lenye kikongwe linafahamika tunashukuru kwa taarifaSijataja nchi wala Rais husika.
Amefukuza karibu wanajeshi 250+Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.
Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha Enzi yake.
Je atasalimika ikizingatiwa jeshi lake Sasa limegawanyika vipande vitatu? Moja watiifu, pili wasiomtii na tatu neutral yaani lolote sawa tu.
Sijataja nchi wala Rais husika.
Nipo chief ,nafuatilia madaAuwae kwa upanga huuwawa kwa upanga. mtu chake njoo huku