Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

Sijui umeongea nini hasa?
 
Dodoma.
Wazawa (wagogo) wapo wapo tu bila kujishughulisha fursa nyingi wamewaachia wageni ambao ni wafanyakazi wa serikali na watumishi
 
Wadudu au vipi bhana
 
Msisahau pia Arusha Kuna jamii wa wasafwa wanakaa Kijiji kinaitwa Sura wapo wachache sana....wanalima viazi na karoti.....nakumbuka Kuna kipind wasafwa walihusishwa na matukio ya wizi sana...wameru wakaua SAna sa hv wametulia.
 
Sio Arusha tu miji yote mikubwa biashara nyingi ni za wachaga kwa sababu wanajitambua na walipata elimu mapema wala sio Arusha na Mbeya tena kwa Arusha sio kweli wenyeji wa Arusha wana biashara kubwa nyingi sana pengine wewe hujui tofauti na mmeru, muarusha ma mchaga. Tutakujia mabilionea wa Arusha ukitaka kujua. Alaf wachaga Arusha ni native tribes sio wageni kutokana na proximity ya mikoa hii miwili
 
Kuna kabila linaitwa waarusha?

Asili ya hili kabila ni ipi? Nna mashaka sana hili kabila halipo ni watu wamekua wavivu tuu kufikiria

Nnachojua Arusha ina makabila mawili

Wamasai
Wameru
Makabila yapo mengi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…