Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii za Wachaga, biashara nyingi hapo mjini za Wachaga mpaka siasa hao kina Lema ni Wachaga.

Mbeya Mjini - wazawa asili wa hili eneo ni kabila la Wasafwa, Kwa bahati mbaya kabila hili machifu walikuwa na itikadi za kuzuia kuchanganyikana na wageni kwa kuamini ni kulinda tamaduni zao, matokeo yake wageni walipoanza kuja Wasafwa wanasogea pembeni, mema ya mji kuanzia Elimu, Biashara, Kazi, Siasa, n.k. wanufaika wakawa ni kabila la wilaya jirani ya Tukutu kwa Wanyakyusa, kwa sasa Wakinga ndio wameshikilia zaidi biashara, Ila kwa siku hizi angalau zile fikra za machifu zimeanza kufutika nao Wasafwa tunajimix nao.
Sijui umeongea nini hasa?
 
Dodoma.
Wazawa (wagogo) wapo wapo tu bila kujishughulisha fursa nyingi wamewaachia wageni ambao ni wafanyakazi wa serikali na watumishi
 
Kwa taarifa yako kiasili wameru sio kabila. Ila nao ni wachaga wa meru japo meru ipo arusha..
Ni kama ilivyo kwa (wakibosho, wamarangu, wamachame, wauru, wameru n.k) hawa wote ni wachaga ..

Waarusha ni kabila la vizalia.... Ni mchanganyiko wa wachaga (wameru)+ wamasai... Hao ndio wachuga sasaa
Wadudu au vipi bhana
 
Msisahau pia Arusha Kuna jamii wa wasafwa wanakaa Kijiji kinaitwa Sura wapo wachache sana....wanalima viazi na karoti.....nakumbuka Kuna kipind wasafwa walihusishwa na matukio ya wizi sana...wameru wakaua SAna sa hv wametulia.
 
Sio Arusha tu miji yote mikubwa biashara nyingi ni za wachaga kwa sababu wanajitambua na walipata elimu mapema wala sio Arusha na Mbeya tena kwa Arusha sio kweli wenyeji wa Arusha wana biashara kubwa nyingi sana pengine wewe hujui tofauti na mmeru, muarusha ma mchaga. Tutakujia mabilionea wa Arusha ukitaka kujua. Alaf wachaga Arusha ni native tribes sio wageni kutokana na proximity ya mikoa hii miwili
 
Kuna kabila linaitwa waarusha?

Asili ya hili kabila ni ipi? Nna mashaka sana hili kabila halipo ni watu wamekua wavivu tuu kufikiria

Nnachojua Arusha ina makabila mawili

Wamasai
Wameru
Makabila yapo mengi sana mkuu
 
Back
Top Bottom