Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo.
Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea
maelezo yanayotoka kwenye maktaba za historia ya mambo kale kutoka kwa watu ambao hawakuwahi kuwa na mafungamano na ukristo bali watu wanaotambulika kuwa walikuwa wasomi wa wakati huo, ambao wameandika mambo mengi kuhusiana na wakati wao. Wasomi hawa wa kale walimwandima Yesu kutokana na umaarufu wake na siyo kwa msingi wa kiimani. Katika maandiko yao, baadhi inaonekana hawakuwahi kabisa kuamini kuwa alikuwa mteule wake Mungu. Miujiza aliyoifanya na ile iliyofanywa na mitume wake, kwenye maandishi yao waliita ni uchawi wa ajabu. Lakini maandishi haya yametia uthibitisho wa mambo mengi ya kiimani na uhalisia. Wanahistoria hawa wasomi wa kale wanathibitisha yafuatayo pasipo shaka:
1. Yesu alikuwako
2. Yesu alikuwa mtu wa miujiza mingi
3. Yesu aliwafundisha watu
4. Yesu alihukumiwa na Pontio Pilate.
5. Yesu alisulibiwa na kuuawa msalabani
6. Yesu alifufuka na kuwa mzima baada ya kufa msalabani.
7. Yesu baada ya kufufuka alikutana na watu.
8. Kuna miujiza ilitokea siku Yesu alivyosulibiwa msalabani.
9. Yesu na mitume wake walitenda miujiza
10. Wanafunzi wa Yesu walifanya ibada za kumwabudu Yesu kama nafsi ya Mungu tangu wakristu wa mwanzo kabisa, yaani karne ya kwanza.
11. Wafuasi wa Yesu walikuwa wakikutana siku ya Jumapili kufanya ibada.

Nawawekea simulizi chache za wanahistoria wasomi wa kale wakimwelezea Yesu. Zipo simulizi 25 za wataalam, lakini kwa leo nawawekea hizi chache:

1. Flavius Josephus. Flavius alikuwa msomi mwanahistoria, na kamanda wa Jeshi la Galilaya aliyekuwa anamiliki askari 1,000, kipindi ambacho Yesu Kristo alikuwa akihubiri. Maelezo yake ndiyo haya:

Wakati huo aliishi Yesu, mtu mwenye hekima, kama kweli ukitaka kumwita kuwa alikuwa mwanadamu. Maana alikuwa ndiye aliyefanya matendo ya kushangaza, na alikuwa ni mwalimu aliyekubalika na watu kwa furaha. Alikubalika kwa wayahudi na wagiriki wengi. Alikuwa Kristu. Na kwa kutokana na tuhuma kutoka kwa wakuu wa watu miongoni mwetu, Pilato akamhukumu kifo cha msalaba. Lakini wale waliompenda who hawakukoma kumpenda. Akawatokea baada ya kufufuka siku ya tatu, kama manabii wa Mungu na wengine maelfu walivyokuwa wameelezea. Na kabila la wakristu, ambalo lilijiita kutokana na yeye, mpaka leo halijapotea.
NB: kumbuka hili ni andiko la myahudi, na wayahudi walio wengi hawakumbali Yesu Kristo kuwa ndiye Masiha.

Josephus on Jesus
Testimonium Flavianum
About this time there lived Jesus, a wise man, if indeed one ought to call him a man. For he was one who performed surprising deeds and was a teacher of such people as accept the truth gladly. He won over many Jews and many of the Greeks. He was the Christ. And when, upon the accusation of the principal men among us, Pilate had condemned him to a cross, those who had first come to love him did not cease. He appeared to them spending a third day restored to life, for the prophets of God had foretold these things and a thousand other marvels about him. And the tribe of the Christians, so called after him, has still to this day not disappeared.
Flavius Josephus: Antiquities of the Jews, Book 18, Chapter 3, 3<a href="Sources for the historicity of Jesus - Wikipedia"><span>[</span>20<span>]</span></a> For Greek text see [1]

2. Tacitus
Mwanahistoria wa Kirumi Tacitus, mwaka 116AD, akimwelezea Yesu na wakristo wa mwanzo, alimwelezea hivi:
Yesu Kristu, mwanzilishi wa ukristu aliuawa wakati wa utawala wa mfalme Tiberius, kwa amri ya Pontio Pilato. Tacitus anauelezea ukristu kama uchawi wa maajabu ulioanzia huko Yudea na kisha ukasambaa Roma (maneno yangu: maneno ya kuwa ukristu ulikuwa uchawi wa ajabu yalitolewa kwanza na mfalme Nero, baada ya yeye kuwatenda uovu wakristu, kisha moto ukalipuka na kuteketeza mji wa Roma).
Mambo muhimu kutokana na maeleso ya Tacitus:
Tacitus anautaja ukristo kama uchawi wa maajabu akifuatisha kwa sababu Nero aliwalaumu wakristu kwa moto ulioteketeza Roma mwaka 64AD.
Tacitus anadhihirisha Yesu aliwahi kuwepo, anataja wakati alipokuwepo na kuwa alihukumiwa na Pontio Pilato.
Tacitus anaonesha wazi chuki yake kwa wakristu, akidai walipeleka imani ya uchawi wa ajabu na mbaya Roma.

Around 116 AD, the Roman historian Tacitus wrote in his
Annals (15.44) that "Christus" (Christ), the founder of the Christian movement, was executed under the reign of Tiberius by the procurator Pontius Pilate. Tacitus described Christianity as a "mischievous superstition" that originated in Judea and spread to Rome.
Key details regarding Tacitus’s account:
  • Context: The mention appears while discussing Emperor Nero’s actions, specifically how Nero blamed Christians for the Great Fire of Rome in 64 AD.
  • Historical Validation: Tacitus confirms the existence of Jesus as a historical figure, the timing of his death, and the involvement of Roman authority (Pontius Pilate).
  • Perspective: As a Roman author, Tacitus held a disdainful view of Christians, characterizing their beliefs as a "deadly superstition" or "evil".
3. Pliny
Pliny alikuwa governor kijana wa mji wa Roma wakati ukristo ulipoingia. Akiwa ametatizwa na imani mpya, asijue la kufanya, akiamini kuwa miujiza inayofanywa na wakristo ni uchawi wa ajabu, aliamua kumwandikia barua Mfalme Trajan, ili kujua afanye nini kuhusiana na ukristo Kwenye barua yake hiyo ya mwaka 112AD, aliyomwandikia mfalme Trajan alisema hivi:
Wakristo wanamwabudu Yesu kuwa ni Mungu, wanamwimbia nyimbo za sifa, na wanakula kiapo cha kutotenda uovu kama vile kutofanya wizi na uzinzi.
APliny anaomba maelekezo kutoka kwa mfalme Trajan afanye nini kwa sababu wakristu wanakataa kuabudu miungu wa Roma.

UJumbe muhimu kutoka barua ya Pliny:
Wakristu walikuwa wanamwabudu Yesu Kristu. Kristu Kuitwa nafai ya Mungu ilianza tangu karne ya kwanza.
WAkristu walikutana jioni kumwimbia Yesu Sifa, kama Mungu.

Wakristu walikuwa wakila kiapo cha kutotenda dhambi kama vile uzinzi, wizi, ufisadi, na uwongo.

Wakristu walikutana siku ya Jumapili kwaajili ya kuabudu, na kula chakula cha pamoja. (Maneno yangu: wale wanaosema kuwa eti wakristu walianza kusali Jumapili kwa agizo la mfalme Costantin, hapa wanapata jibu kuwa maneno hayo ni uwongo)
Barua ya governor Pliny inadhihirisha kuwa Yesu aliwahi kuwepo, na inaelezea jinsi wakristu wa mwanzo walivyokuwa wakiendesha ibada zao, na inaonesha ukristu ulivyokuwa ukienea mpaka maeneo ya vijijini.
Pliny kwenye barua yake kwa mfalme, anauliza kama kuitwa tu mkristu lilikuwa ni kosa la kustahili adhabu, au kulikuwa na matemdo maalum ya kuangalia.
Mfalme Trajan, katika majibu yake anamwabia governor kuwa wakristu waitwe na walazimishwe kuachana na ukristu, wanaokubali kuacha wahurumiwe, wanaokataa waadhibiwe.

What did Pliny say about Jesus?



Jesus Outside the Bible | Part 2 | Pliny the Younger
Pliny the Younger, a Roman governor around 112 AD, documented early Christians' worship of Jesus as a god, meeting to sing hymns to him, and taking oaths to avoid crimes like theft and adultery, confirming Jesus as a historical figure whose followers existed and were growing rapidly, though Pliny sought guidance from Emperor Trajan on how to handle their refusal to worship Roman gods, leading to punishments for those who wouldn't recant their faith.

Key Details from Pliny's Letters:
  • Worship of Christ:
    Christians met before dawn to sing hymns to "Christ, as to a god".

  • Moral Conduct:
    They pledged to abstain from adultery, theft, fraud, and breaking their word.

  • Meetings:
    They gathered on a fixed day, Sunday for worship and shared a simple meal.

  • Investigation:
    Pliny questioned accused Christians, offering pardon if they renounced Christ and worshipped Roman gods/Emperor, but executed those who refused.

  • Historical Significance:
    The letters confirm the historical existence of Jesus and early Christian practices, showing their faith was distinct and growing, even into villages.
The Correspondence with Emperor Trajan:
  • Pliny asked Trajan how to deal with Christians, unsure if the mere name was a crime or if specific acts were required for punishment.

  • Trajan's response was to not hunt Christians but to punish those brought before him who refused to recant, while pardoning who did.
4. Thallus
Thallus, walivyokuwa wengine, hakuwa mkristo, ni kutoka kabila la Wasamaria. Alikuwa ni mwanahistoria wa kale ambaye alielezea kuhusu kifo cha Yesu Kristo jinsi kilivyoambatana na miujiza. Andiko lake wanahistoria wameshindwa kulipata lakini wanayakuta maandiko yake kwenye maandiko ya wanahistoria wengine yalikookuwa quoted.
Thallus aliandika andiko lake kumhusu Yesu mwaka 52AD. Alikuwa mwanahistoria mzaliwa wa Samaria. Maandishi yake yanaonekana kwenye nukuu alizofanya mwanahistoria Julius mwaka 221AD, akieleza kuwa baada ya Yesu kufa kulitokea giza la masaa matatu. Anajaribu kuelezea kuwa hilo giza yawezekana ilikuwa ni kupatwa kwa jua kwa kawaida, lakini anakiri kuwa lilikiwa tukio lisilo la kawaida.
Julius Africanus anayakataa maelezo ya Thallus kuwa giza lilisababishwa na kupatwa kwa jua kwa sababu kipindi hicho cha pasaka kilikuwa ni cha mwezi kamili, hivyo hakuwezi kutokea kupatwa jua.

Thallus (c. 52 AD), a Samaritan-born historian, is known through citations by later writers like Julius Africanus (c. 221 AD) to have
addressed the three-hour darkness during Jesus’s crucifixion. He attempted to explain this event as a natural solar eclipse, though he acknowledged the unusual darkness itself.
Key details regarding Thallus's mention of Jesus include:
  • Context: Writing in his Histories, Thallus sought to provide a rational explanation for the darkness accompanying the crucifixion, which was noted in the Gospels.
  • The "Eclipse": Thallus attributed the, at-the-time, miraculous darkness to a solar eclipse.
  • Historical Significance: Julius Africanus challenged Thallus’s explanation, arguing that an eclipse cannot occur during the Passover, which is at a full moon. The account is historically significant because it suggests a non-Christian writer acknowledged the occurrence of the darkness, treating it as a real event that required explanation.
  • Loss of Original Work: The original works of Thallus are lost; his mention of this event is only known through quotations from early Christian historians.
Thallus is often cited as an early, non-Christian, non-biblical source confirming the historical context of the crucifixion.
 
Tatizo ni kwamba walioandaa/ kutunza kumbukumbu zilizokuja kuandika biblia ndo hao hao waliotunza hizo kumbukumbu unazotumia kama reference kuhalalisha biblia. Shambala bwana heri, mbuzi wa bwana heri
 
Tatizo ni kwamba walioandaa/ kutunza kumbukumbu zilizokuja kuandika biblia ndo hao hao waliotunza hizo kumbukumbu unazotumia kama reference kuhalalisha biblia. Shambala bwana heri, mbuzi wa bwana heri

Siyo kweli. Hizi ni kumbukumbu za kihistoria zilizotunzwa na taasisi zisizo za Kanisa. Hizi ni kumbukumbu za historia za kale, na ni moja tu inapatikana kutoka mamlaka za Rumi. Nyingine zote, ni nje ya maktaba za Kanisa, na ukiziona kwenye maktaba za Kanisa, unaambiwa kuwa ni nakala, unaelekezwa uasili wake ulikuwa wapi. Zipo nyingine zinapatikana kwenye maktaba ya Wayahudi wa kale, zilizoandikwa na wataalam wa Kiyahudi waliokuwa sehemu ya makuhani. Wao wanasema wazi kuwa Yesu alisulibiw msalabani, na wanapongeza tendo hilo, wakidai kuwa alikuwa amekufuru kujiita ni mwana wa Mungu na kwmba yeye ni sehemu ya Mungu. Ni maandishi negative lakini ynakupa uthibitisho wa kuwa Yesu alikuwepo, aliuawa msalabani, alitenda miujiza mingi na Yesu mwenyewe alinena kuwa ni nafsi ya Mungu.
Usidanganyike kuwa biblia ilikuja kuandikwa baadaye. Ukweli ni kuwa Injili ziliandikwa kipindi hiki hiki ambacho hawa wanahistoria nao waliandika kumhusu Yesu. Injili zote zimeandikwa kipindi cha mwaka 50 - 100 AD. Kila Injili ilibakia kama kinachojitegemea. Kilichofanyika mwanzoni mwa karne ya pili ni kuziunganisha Injili zote, matendo ya mitume na barua za mitume kwenye kitabu kimoja. Mwishoni mwa karne ya pili vitabu vya agano jipya viliunganishwa na vya Agano la kale, ndipo waliviita MWUNGANIKO WA VITABU, yaani Biblia. Neno BIBLIA maana yake yake ni vitabu, wakimaanisha muunganiko wa vitabu.
 
Bwana yesu asifiwe

Amina. Uwe na amani ya BWANA, maana umepata baraka ya kulijua jina ambalo wanadamu wamepewa kwaajili ya wokovu wao. Jina halisia lisilo na mashaka lililoshuhudiwa na wanadamu mbalimbali, waliomwamini, na hata wasiomwamini.
 
Back
Top Bottom