Nje ya mapenzi Diamond anaweza nini?

Yes those are smart partnerships
 
Biashara lazima ujue watu wako wanataka nini hicho ndicho anachofanya

mpuuzi mpuuzi tu
 
Ebu tuanze nawewe ulie elimika,unaweza majungu tu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Diamond nyimbo anazoimba siku hiz kweli zimezid matusi. Mie napenda nyimbo zake ila hiz anazoshikirikishwa siku hiz hapana. Halafu umkute mtoto kakazana na mistari
 
sikuiz bongo kwanza tusahau kabsa mashairi yanayogusa siasa labda hadi awam hii ya uongoz iishe. ila sjui kwa nin hata masuala mengine ya kijamii hayaguswi kabsa na mapenz na ngono. Hii inaonesha taifa letu linaendelea zaid katika ukanda huo. very disappointing. Serikal yetu inachangia sana muzik wetu kua na mlengo huo mmoja. maana hairuhusu kuzungumzia siasa na mambo mengi ya kijamii bado hayapo vizur kwa hiyo ukiongelea masuala ya kijamii let say elimu hali yake kiuhalisia sio nzur. na ukizungumza ukwel huu serikal haitakuacha salama.
 
Tuambie we Natasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua tu, mnaumia sana companion wenu kaguswa. Jiandaeni vyema almradi haimbii porini ni lazima mfalme wenu aguswe, nawakalibisha kwa matusi mengine zaidi wakati dawa inaendelea kufanya kazi.

Wewe unayewaza Siasa una nini cha maana kumzidi Diamond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kuteseka taratibu huku nyimbo zake umedownload kwenye tecno yako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo fursa..... watanzania ndo wanachopenda kusikia toka kwake..... kwani we unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…