Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Akili ya mtu ama mind hutambulishwa zaidi na matendo ama maamuzi ya mtu katika masuala mbalimbali. Na katika tabia na mienendo ya matamanio mtu akizama zaidi huwa mlevi na huenda akawa ameathiriwa na tabia hizo ama addict. Tokea nimeanza kuzisikia nyimbo za huyu anaitwa kila siku najiuliza kichwani make kuna nini cha ziada? Uwezo wake wa kufikilia na kuamua.
Na hili ni tatizo la malezi, makuzi ama nini? Tatizo ni ukosefu wa elimu ama ni nini hasa, kinachlkela zaidi ni aina ya maneno ama lugha katika nyimbo zake, yote inagusia tendo la ndoa, namwona mtu alive addicted kama wabwia unga na pombe. Hakika naye anahitaji msaada wa haraka, aelimishwe maisha ni nini na kuwa msanii ni nini