Sikumbuki nilitokeaje na sijawahi kufanya makubaliano na chochote juu ya kitabu au katiba au document yeyote wala sijawahi kuwa na mkataba wa nn jema au baya yote nimetambulishwa tuu na sijawah kuona yeyote mkwel 100% ,ila nauhakika wabaya kwa Tafsiri yangu hufanikiwa zaidi , na nisivyo viona havijawahi ongea na mm ila kuna walio kama mm wananiletaa mamikataba na vitabu kuwa nivifate nikiwauliza nionane naye wananijibu haonekani , na niamini hivyo hivyoThibitisha kama wewe hauna chanzo ? Napata wasi wasi na namna unavyo yafikiria mambo. Naona kama hauko serious katika suala zima la kutafakari na kuhoji.
Trust me, asilimia 99% ya wanaopinga evolution humu hawajaisoma na inawezekana wamesahau hata basics biologyYani waafrika tumegomea kabisa evolution / evolitonal biology . Ila mtu anakuja hapa anasema oh sijui kitu intelligent kimeumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukimuuliza do you know how metochondria work na kama binadamu yupo special sana mbona cell zake hazina tofauti na cell za wanyama wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amini Mungu yupoNtaendelea kuamini kuwa mungu yupo haijalishi nikifika mbinguni nitamkuta au la!.
Ila Mungu yupo yaani kuna wakati kabisa unahisi uwepo wake karibu nawe, kuna wakati unakuwa kwenye matatizo makubwaaa sana ila ukimuita msaada unatokea pale pale.
Mimi amenifanyia mengi sana amemlinda mama yangu yupo hai, wadogo zangu etc
Kubwa zaidi hii pumzi nisiyoilipia hata sent moja napumua tu bureee Asante mungu.
Kuna wakati nakuwa namuomba Mungu nikilalamika moyo unaniambia acha kulalamika kuna nilichonacho ambacho mwingine hana naishia kusema asante Mungu.
Mpaka sasa umeweza kuhamisha milima mingapi?Mathayo 17:20
"Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu."
Vipi kuhusu wale ambao mama zao, baba zao na ndugu zao wote hawapo hai??Ntaendelea kuamini kuwa mungu yupo haijalishi nikifika mbinguni nitamkuta au la!.
Ila Mungu yupo yaani kuna wakati kabisa unahisi uwepo wake karibu nawe, kuna wakati unakuwa kwenye matatizo makubwaaa sana ila ukimuita msaada unatokea pale pale.
Mimi amenifanyia mengi sana amemlinda mama yangu yupo hai, wadogo zangu etc
Kubwa zaidi hii pumzi nisiyoilipia hata sent moja napumua tu bureee Asante mungu.
Kuna wakati nakuwa namuomba Mungu nikilalamika moyo unaniambia acha kulalamika kuna nilichonacho ambacho mwingine hana naishia kusema asante Mungu.
Hili naona limekushinda kijana. Maana ya mjadala unapo ulizwa swali unatakiwa ujibu,sababu ndiyo munasaba.narudia tena pitia kuhusu universal counsious acha uzembe sipo hapa kushawishi watu wamfuate Mungu wangu sababu anajitosheleza
Jenga hoja kwa hicho nilichokiandika. Kama energy ina hivyo nilivyo vitaja au kama unaweza kuthibitisha hilo basi hiyo si energy kijana.hujui chochote kuhusu energy.
Umezoea kuskia roho but ukiulizwa nini hujui.
Tofauti yangu na yako ni kuwa mimi huwa najua maana ya maneno kabla sijayatumia ndiyo maana kunikuta nimepotosha maana ni vigumu sana.Ningekuambia Mungu ni roho probably ningeonekan smart kumbe hata yenyewe hujui ni nin tafta maana ya roho then urudi kwenye energy
mnapenda kutumia misamiati ambayo mmezoea lakini hamjuai inamaanisha nini usiishi kwa mazoea
There's no anything without a creatorWhy you think they are created??
Hamna sehem hata moja uliyoelezea roho zaidi ya story na Quote ambazo kila mtu anajua kuw roho haina mwili.Tofauti yangu na yako ni kuwa mimi huwa najua maana ya maneno kabla sijayatumia ndiyo maana kunikuta nimepotosha maana ni vigumu sana.
Ama kuhusu Roho mimi nakufundisha wewe,na nina uhakika huijui Roho ni nini,ngoja nikupe faida kidogo kuhusu Roho.
Naanzia hapa.
Mola wetu anasema katika Qur'aan, juu ya ukweli kuhusu ROHO.
85. Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo. (Israa : 85)
Hii inaonyesha ya kuwa suala la elimu juu ya Roho ni elimu kubwa mno na sisi tumepewa elimu ndogo sana juu ya ROHO na jambo hili linabaki kuwa kwake Mola wetu kwa undani wake.
Kama hali iko hivi, ni nini Roho ? Ni zipi sifa zake? Ni zipi tabia zake na ni upi uwezo wake ? Maswali haya watu hujiuliza sana.
Katika Elimu hiyo ndogo tuliyopewa na Mola wetu, tunaipata kutoka katika vyanzo vya uhakika na kuaminika ya kuwa, Roho ni kitu kisicho onekana, chenye mafungamano ya moja kwa moja na mwili.
Lakini Roho hiyo ina sifa kadhaa kwazo huwa tunazitumia kuelezea vitu vyenye kushikika (Tangible things), kama vile hupulizwa na Malaika kuupa mwili uhai na hutolewa kipindi mja anapokufa, hukutana na kuzungumza.
Mwili unakufa ila Roho haifi, roho hubaki milele. ROHO ni katika vile viumbe ambavyo vina mwanzo ila havina mwisho.
Sasa njoo ukosoe hiki nilichokiandika kwa hoja si maneno matupu.
Energy inavyote hivo ulivo sema hata kabla hatujafikia kwenye universal consious kasome kuhusu single atom kwa undaniTofauti yangu na yako ni kuwa mimi huwa najua maana ya maneno kabla sijayatumia ndiyo maana kunikuta nimepotosha maana ni vigumu sana.
Ama kuhusu Roho mimi nakufundisha wewe,na nina uhakika huijui Roho ni nini,ngoja nikupe faida kidogo kuhusu Roho.
Naanzia hapa.
Mola wetu anasema katika Qur'aan, juu ya ukweli kuhusu ROHO.
85. Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo. (Israa : 85)
Hii inaonyesha ya kuwa suala la elimu juu ya Roho ni elimu kubwa mno na sisi tumepewa elimu ndogo sana juu ya ROHO na jambo hili linabaki kuwa kwake Mola wetu kwa undani wake.
Kama hali iko hivi, ni nini Roho ? Ni zipi sifa zake? Ni zipi tabia zake na ni upi uwezo wake ? Maswali haya watu hujiuliza sana.
Katika Elimu hiyo ndogo tuliyopewa na Mola wetu, tunaipata kutoka katika vyanzo vya uhakika na kuaminika ya kuwa, Roho ni kitu kisicho onekana, chenye mafungamano ya moja kwa moja na mwili.
Lakini Roho hiyo ina sifa kadhaa kwazo huwa tunazitumia kuelezea vitu vyenye kushikika (Tangible things), kama vile hupulizwa na Malaika kuupa mwili uhai na hutolewa kipindi mja anapokufa, hukutana na kuzungumza.
Mwili unakufa ila Roho haifi, roho hubaki milele. ROHO ni katika vile viumbe ambavyo vina mwanzo ila havina mwisho.
Sasa njoo ukosoe hiki nilichokiandika kwa hoja si maneno matupu.
hivi wachawi nao hawapo, wametungwa tu na akili za watu?habari great thinkers.
Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.
Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.
There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.
View attachment 1941529
unapofikiria kuhusu ulimwengu fikiria kuhusu single atomTofauti yangu na yako ni kuwa mimi huwa najua maana ya maneno kabla sijayatumia ndiyo maana kunikuta nimepotosha maana ni vigumu sana.
Ama kuhusu Roho mimi nakufundisha wewe,na nina uhakika huijui Roho ni nini,ngoja nikupe faida kidogo kuhusu Roho.
Naanzia hapa.
Mola wetu anasema katika Qur'aan, juu ya ukweli kuhusu ROHO.
85. Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo. (Israa : 85)
Hii inaonyesha ya kuwa suala la elimu juu ya Roho ni elimu kubwa mno na sisi tumepewa elimu ndogo sana juu ya ROHO na jambo hili linabaki kuwa kwake Mola wetu kwa undani wake.
Kama hali iko hivi, ni nini Roho ? Ni zipi sifa zake? Ni zipi tabia zake na ni upi uwezo wake ? Maswali haya watu hujiuliza sana.
Katika Elimu hiyo ndogo tuliyopewa na Mola wetu, tunaipata kutoka katika vyanzo vya uhakika na kuaminika ya kuwa, Roho ni kitu kisicho onekana, chenye mafungamano ya moja kwa moja na mwili.
Lakini Roho hiyo ina sifa kadhaa kwazo huwa tunazitumia kuelezea vitu vyenye kushikika (Tangible things), kama vile hupulizwa na Malaika kuupa mwili uhai na hutolewa kipindi mja anapokufa, hukutana na kuzungumza.
Mwili unakufa ila Roho haifi, roho hubaki milele. ROHO ni katika vile viumbe ambavyo vina mwanzo ila havina mwisho.
Sasa njoo ukosoe hiki nilichokiandika kwa hoja si maneno matupu.
unapofikiria kuhusu ulimwengu huu usiende mbali fikria kuhusu single atom.Tofauti yangu na yako ni kuwa mimi huwa najua maana ya maneno kabla sijayatumia ndiyo maana kunikuta nimepotosha maana ni vigumu sana.
Ama kuhusu Roho mimi nakufundisha wewe,na nina uhakika huijui Roho ni nini,ngoja nikupe faida kidogo kuhusu Roho.
Naanzia hapa.
Mola wetu anasema katika Qur'aan, juu ya ukweli kuhusu ROHO.
85. Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo. (Israa : 85)
Hii inaonyesha ya kuwa suala la elimu juu ya Roho ni elimu kubwa mno na sisi tumepewa elimu ndogo sana juu ya ROHO na jambo hili linabaki kuwa kwake Mola wetu kwa undani wake.
Kama hali iko hivi, ni nini Roho ? Ni zipi sifa zake? Ni zipi tabia zake na ni upi uwezo wake ? Maswali haya watu hujiuliza sana.
Katika Elimu hiyo ndogo tuliyopewa na Mola wetu, tunaipata kutoka katika vyanzo vya uhakika na kuaminika ya kuwa, Roho ni kitu kisicho onekana, chenye mafungamano ya moja kwa moja na mwili.
Lakini Roho hiyo ina sifa kadhaa kwazo huwa tunazitumia kuelezea vitu vyenye kushikika (Tangible things), kama vile hupulizwa na Malaika kuupa mwili uhai na hutolewa kipindi mja anapokufa, hukutana na kuzungumza.
Mwili unakufa ila Roho haifi, roho hubaki milele. ROHO ni katika vile viumbe ambavyo vina mwanzo ila havina mwisho.
Sasa njoo ukosoe hiki nilichokiandika kwa hoja si maneno matupu.
Yapo mengi ya kushukuru hata uhai wao inatosha.Vipi kuhusu wale ambao mama zao, baba zao na ndugu zao wote hawapo hai??