Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Mtazamo ni mawazo binafsi bila ushahidi (hypothesis)
 

mkuu naweza kupata kujifunza how pornography causes ED!? kama ni kitabu au makala please share!
 
Nimetangulia kusema i am a seeker not believer
Seeker ni yule ambaye anataka kuelewa na yupo kwa ajili ya kutafuta majibu sahihi, wewe umedai Mungu yupo hujadai kua hujui kama yupo na uko katika process za utafiti kutaka kujua yupo au hayupo

Kama we ni seeker tafsiri yake ni kwamba mpaka saizi hautakiwi kuonesha upo upande gani kati ya yupo au hayupo mpaka pale utapopata jibu kupitia hiyo reasearch yako

Sasa how come unakuja na jibu kua yupo at the same time ukijinasibu kua we ni seeker?, tafsiri yake ni kua ushapata majibu ya ulichokua unakitafuta (you are no longer a seeker) sasa tuthibitishie
 
kukataa kitu bila ushahidi(research) ni new science ya karne ya leo (pseudo science)
pseudo science sio valid way ya kuhitimisha jambo. Pseudoscience kimsingi ni collection ya imani ambazo zina nukuliwa kimakosa kwa kuhusisha na sayansi, hapo ndo utakuta intelligent design ikihusisha na sayansi wakati sio mahala pake. ID ni creation theory B
 
Wewe Ni kichaa
 
Hivi habari za Mungu zilianza wakati kuna HOFU ya dunia? Are u sure??? Labda ungenambia habari za dini, ningekuelewa but not habari za Mungu; habari za Mungu zimekuwepo enzi za mababu na mababu wa hi dunia, kila sehemu walikua na style yao ya kumtafuta Mungu, ukoloni ndio ukaleta dini hizi tunazo ziona le, wakabadirisha na style ya kuabudu waliokua wakiifanya mababu zetu
 
Please uwe unasoma line by line.
Pre-assumption yang ya kwanz ni yupo ndio maana
kuna hypothesis kabla ya experiment.
Naammin yupo(sehem zote nimetumia naamin yupo na sio yupo) ndio maana namtafta huwezi ukatafta kitu unaamini hakipo
Tofauti ya seeker na beliver n kwamba believer wanamjua exactly Mungu wao yukoje, anataka nini hataki nin
yuko mbinguni na vitu kama ivo.
Na wanaprove kwa maandiko wanayoyamin.
Seeker anaamin hajui chochote kuhusu Mungu(sio uwepo wake bali sifa za huyo Mungu) ila anaamin possibly anaexist ndio maana anaend inserch for him.
 
Pseudoscience consists of statements, beliefs, or practices that claim to be both scientific and factual but are incompatible with the scientific method.
 
Sio unaweza usiweze
Huwezi


Kama unaweza thibitisha kwa hoja hapa

Nambie kwa Premises hizi na hizi zinatoa conclusion hii (kuwa Mungu niliyem define yupo)
Jomba Kuna Mtakatifu mmoja aliyeitwa Toma wa Akwino, aliwahi kusema Hivi,"Kwa mwenye imani hahitaji maelezo Mengi kuhusu MUNGU, kidogo tu ameelewa;lkn kwa asiye na Imani hata km akipewa maelezo mengi bado hataamini".Kwa hiyo Mimi ninavyomfeel MUNGU inaweza kuwa tofauti na mtu mwingine, Matharani Mimi nimepitia ktk matatizo mbalimbali ambayo yalizidi upeo wangu kibinadamu lkn nilipomuomba Mungu, njia ya kuyatatua ilifunguka na Mambo yakawa mepesi Sana.Mfano mwaka huu mdogo wangu alibambikiziwa kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia silaha na waliofanya hivyo waliapa kuwa lazima wampoteze Bwana mdogo wangu,na walikuwa ni watu wakubwa Serikalini nimehangaika hadi Makao makuu lkn wapi!, Tafuta Wanasheria lkn mambo yakawa magumu!; Nikasema sasa napiga magoti nimlilie MUNGU nikiamini kuwa Mungu hawezi kuzidiwa nguvu na hao jamaa; Aisee japo alijibu kwa kuchelewa kadiri ya matarajio ya kibinadamu lkn sitasahau wema huu wa Mungu, Kwani mdogo wangu aliachiliwa huru pasipo kuwa na hatia.sitaacha kusifu jina lake hata ukiniwekea upanga shingoni nipo tayari kufa nikikiri Uwezo wa Mungu.Kila nilipoenda gerezani nilimsisitiza mdogo wangu kuwa asiache kumtegemea MUNGU maana ndio tumaini letu.Huu ni ushuhuda mmoja tu, ninazo shuhuda nyingi sana za kuonyesha kuwa MUNGU Yupo na anasikia maombi yetu na anajibu.
 
Mjadala kuhusu uwepo wa Mungu muweza wa yote na mwenye nguvu kuliko chochote hauwezi kupata muafaka kwa watu walio na imani tofauti.

Huu ndio ukweli lakini kwa sababu ya kuchangamsha baraza basi mjadala uendelee ili kupitia comments za watu huenda kuna la kujifunza. Lakini sio kuwa itafika mahali anayesema Mungu yupo atashinda au anayesema hayupo atashinda, kwa sababu mjadala unahusu pande mbili zenye imani tofauti, kuwepo na kutokuwepo.

Dhana ya “Mungu” inaenda nje ya context ya maisha ya binadamu yanayoonekana. Na hayo yanayoonekana au angalau kuweza kutjibitishwa japo kwa asilimia fulani ndio mnaita sayansi. Lakini dhana ya Mungu haithibitishwi na kitu kidogo kama sayansi ya mwanadamu ambaye kimaumbile na kiasilia mwanadamu ana ukomo kwa jambo lolote analofanya ukianza na maisha yake mwenyewe hana mamlaka nayo kuwa aishi mpaka lini. Hana!

Hivyo kutaka uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa namna ile sayansi inafanya ni kutaka kuijamisha bahari kwa kutumia kijiko cha chai. Haiwezekani. Sayansi ya mwanadamu ina limitations nyingi ambazo hata mwanadamu mwenyewe hana majibu.

Hivyo, uthibitisho wa uwepo wa Mungu uko kwa wanaomuamini, na hii maana yake ni kiroho sio kimaumbile!! Kutafuta uthibitisho wa uwepo wa jambo la kiroho, huanza na kuliamini kwanza, ukishalipinga, uthibitisho huo haupo na hautakuwepo.
 
Kuamini yupo bila uthibitisho sioni kama kuna kutofautisha na hao waumini, Halafu njia uliyotumia kujenga hoja ina weakness kubwa sana kwasababu inaweza kumrahisishia mtu yeyote yule ambaye anataka ku penetrate uwongo

Chukulia kua mimi nakuambia naamini spiderman yupo in real, kisha we ukanitaka nithibitishe nikakuambia hiyo ni hypothesis bado natafiti... tafsiri yake ni nini, spiderman yupo inabidi ukubali? Au utafiti haujakamilika sina haki ya kukupa jibu mpaka pale nitakapo kamilisha? current status ni spiderman yupo based on which evidence?

wait.. kama unatafiti basi maliza tafiti uje na jibu la uhakika, kwanini unakuja na madai ambayo hayajafikia hitimisho. Upo kwenye kutafiti na haujamaliza unacho kitafiti usiwe na haraka, humu kuna mwenzako kaomba ruhusa ya miaka miwili ya kutafuta jibu (japo research yako hujaweka wazi itachukua muda gani).
 
Pseudoscience consists of statements, beliefs, or practices that claim to be both scientific and factual but are incompatible with the scientific method.
pseudoscience ni utapeli nilikushangaa ulivyosema ni sayansi ya kileo, hii labda itumiwe na wale wafia dini ku implicate habari za mungu kupitia intelligent design theory
 
pseudoscience ni utapeli nilikushangaa ulivyosema ni sayansi ya kileo, hii labda itumiwe na wale wafia dini ku implicate habari za mungu kupitia intelligent design theory
Pseudoscience ni kwa watu wote hata wewe unayepinga bila scientific proof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…