Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
katika kalenda leo ni tuesday 21/09/2021 unakubali?Leo ni tarehe 21/09/2021.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika kalenda leo ni tuesday 21/09/2021 unakubali?Leo ni tarehe 21/09/2021.
Mtazamo ni mawazo binafsi bila ushahidi (hypothesis)Ishu ya mtazamo nayo nimeiongelea kua sio kigezo cha kufanya kitu kiwe kweli, kinacho angaliwa ni uthibitisho ulio tolewa kuonesha uhalisia wa kitu
Je hiyo mitazamo ya hao wanasayansi imeambatana na uthibitisho kuonesha Mungu yupo au ni claims/ assumptions ambazo hazijathibitishwa?
Kwa hiyo unaposema Mungu yupo hilo linakua ni wazo (bila ushahidi) au fact (yenye ushahidi)?Mtazamo ni mawazo binafsi bila ushahidi (hypothesis)
Inategemea kama nakwambia Mungu yupo kwa maantinki ya kukuaminisha itabidi nkupe ushahidiKwa hiyo unaposema Mungu yupo hilo linakua ni wazo (bila ushahidi) au fact (yenye ushahidi)?
Nimetangulia kusema i am a seeker not believerKwa hiyo unaposema Mungu yupo hilo linakua ni wazo (bila ushahidi) au fact (yenye ushahidi)?
Trust me, asilimia 99% ya wanaopinga evolution humu hawajaisoma na inawezekana wamesahau hata basics biology
Asilimia 99% ya DNA zetu hazina tofauti na Sokwe and yet mtu anaamini Binadamu sio sehemu ya mnyama
Evolution inaelezea vitu vingi sana, sio tu evolution ya binadamu mpaka jinsi gani baadhi ya organ katika miili yetu inavyofanya kazi
Nilikua najifunza jinsi gani, pornography ina sababisha Erectile dysfunction nikashangaa kwa jinsi gani evolution imetumia kuelezea kwa usahihi mkubwa
Concept ya evolution ni simple sana sijui kwanini baadhi ya watu wanashindwa kuielewa hii masterpiece ya biology
Intelligent design ina jaribu kujibu swali katika easiest way possible, inatoa jibu jepesi ambalo halina uhalisia
Mungu akaumba kwa udongo, how?
Akasema kuwe hiki kuwe kile how?
Evolution inatupa jibu complex, inaeleza kivipi kiumbe hai kinatengenezwa from the simplest form possible
Evolution inaanza from the beginning bila assumption ya Pre existing designer
kukataa kitu bila ushahidi(research) ni new science ya karne ya leo (pseudo science)Kwa hiyo unaposema Mungu yupo hilo linakua ni wazo (bila ushahidi) au fact (yenye ushahidi)?
kwani ulivyosema Mungu yupo ulikua unazungumzia katika muktadha upi?Inategemea kama nakwambia Mungu yupo kwa maantinki ya kukuaminisha itabidi nkupe ushahidi
Seeker ni yule ambaye anataka kuelewa na yupo kwa ajili ya kutafuta majibu sahihi, wewe umedai Mungu yupo hujadai kua hujui kama yupo na uko katika process za utafiti kutaka kujua yupo au hayupoNimetangulia kusema i am a seeker not believer
pseudo science sio valid way ya kuhitimisha jambo. Pseudoscience kimsingi ni collection ya imani ambazo zina nukuliwa kimakosa kwa kuhusisha na sayansi, hapo ndo utakuta intelligent design ikihusisha na sayansi wakati sio mahala pake. ID ni creation theory Bkukataa kitu bila ushahidi(research) ni new science ya karne ya leo (pseudo science)
MUNGU wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo,Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Wewe Ni kichaahabari great thinkers.
Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.
Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.
There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.
View attachment 1941529
Hivi habari za Mungu zilianza wakati kuna HOFU ya dunia? Are u sure??? Labda ungenambia habari za dini, ningekuelewa but not habari za Mungu; habari za Mungu zimekuwepo enzi za mababu na mababu wa hi dunia, kila sehemu walikua na style yao ya kumtafuta Mungu, ukoloni ndio ukaleta dini hizi tunazo ziona le, wakabadirisha na style ya kuabudu waliokua wakiifanya mababu zetuMkuu umefafanua vizuri, idea ya god ilikuja ili kuikabili hofu ya duniani ndio maana wafia dini wanaamini kuwa kuna nchi inaitwa mbinguni, huko hakuna kuugua, kufa, njaa n.k yaani huko ni full kula bata tu, huhitaji ajira wala kufanya biashara ili uishi huko vyakula vipo vya kutosha yaani kuna chipsi za kumwaga, nyama choma, piza baga n.k
Ndio maana unawaona wanapambana usiku na mchana kusali ili siku moja waingie kwenye hiyo nchi. Hata telebani nao wanapambana waingie huko lakini najiuliza hao majamaa ukiingia nao mbinguni itakuaje 😃😃😃
Please uwe unasoma line by line.Seeker ni yule ambaye anataka kuelewa na yupo kwa ajili ya kutafuta majibu sahihi, wewe umedai Mungu yupo hujadai kua hujui kama yupo na uko katika process za utafiti kutaka kujua yupo au hayupo
Kama we ni seeker tafsiri yake ni kwamba mpaka saizi hautakiwi kuonesha upo upande gani kati ya yupo au hayupo mpaka pale utapopata jibu kupitia hiyo reasearch yako
Sasa how come unakuja na jibu kua yupo at the same time ukijinasibu kua we ni seeker?, tafsiri yake ni kua ushapata majibu ya ulichokua unakitafuta (you are no longer a seeker) sasa tuthibitishie
Pseudoscience consists of statements, beliefs, or practices that claim to be both scientific and factual but are incompatible with the scientific method.pseudo science sio valid way ya kuhitimisha jambo. Pseudoscience kimsingi ni collection ya imani ambazo zina nukuliwa kimakosa kwa kuhusisha na sayansi, hapo ndo utakuta intelligent design ikihusisha na sayansi wakati sio mahala pake. ID ni creation theory B
Jomba Kuna Mtakatifu mmoja aliyeitwa Toma wa Akwino, aliwahi kusema Hivi,"Kwa mwenye imani hahitaji maelezo Mengi kuhusu MUNGU, kidogo tu ameelewa;lkn kwa asiye na Imani hata km akipewa maelezo mengi bado hataamini".Kwa hiyo Mimi ninavyomfeel MUNGU inaweza kuwa tofauti na mtu mwingine, Matharani Mimi nimepitia ktk matatizo mbalimbali ambayo yalizidi upeo wangu kibinadamu lkn nilipomuomba Mungu, njia ya kuyatatua ilifunguka na Mambo yakawa mepesi Sana.Mfano mwaka huu mdogo wangu alibambikiziwa kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia silaha na waliofanya hivyo waliapa kuwa lazima wampoteze Bwana mdogo wangu,na walikuwa ni watu wakubwa Serikalini nimehangaika hadi Makao makuu lkn wapi!, Tafuta Wanasheria lkn mambo yakawa magumu!; Nikasema sasa napiga magoti nimlilie MUNGU nikiamini kuwa Mungu hawezi kuzidiwa nguvu na hao jamaa; Aisee japo alijibu kwa kuchelewa kadiri ya matarajio ya kibinadamu lkn sitasahau wema huu wa Mungu, Kwani mdogo wangu aliachiliwa huru pasipo kuwa na hatia.sitaacha kusifu jina lake hata ukiniwekea upanga shingoni nipo tayari kufa nikikiri Uwezo wa Mungu.Kila nilipoenda gerezani nilimsisitiza mdogo wangu kuwa asiache kumtegemea MUNGU maana ndio tumaini letu.Huu ni ushuhuda mmoja tu, ninazo shuhuda nyingi sana za kuonyesha kuwa MUNGU Yupo na anasikia maombi yetu na anajibu.Sio unaweza usiweze
Huwezi
Kama unaweza thibitisha kwa hoja hapa
Nambie kwa Premises hizi na hizi zinatoa conclusion hii (kuwa Mungu niliyem define yupo)
Kuamini yupo bila uthibitisho sioni kama kuna kutofautisha na hao waumini, Halafu njia uliyotumia kujenga hoja ina weakness kubwa sana kwasababu inaweza kumrahisishia mtu yeyote yule ambaye anataka ku penetrate uwongoPlease uwe unasoma line by line.
Pre-assumption yang ya kwanz ni yupo ndio maana
kuna hypothesis kabla ya experiment.
Naammin yupo(sehem zote nimetumia naamin yupo na sio yupo) ndio maana namtafta huwezi ukatafta kitu unaamini hakipo
Tofauti ya seeker na beliver n kwamba believer wanamjua exactly Mungu wao yukoje, anataka nini hataki nin
yuko mbinguni na vitu kama ivo.
Na wanaprove kwa maandiko wanayoyamin.
Seeker anaamin hajui chochote kuhusu Mungu(sio uwepo wake bali sifa za huyo Mungu) ila anaamin possibly anaexist ndio maana anaend inserch for him.
pseudoscience ni utapeli nilikushangaa ulivyosema ni sayansi ya kileo, hii labda itumiwe na wale wafia dini ku implicate habari za mungu kupitia intelligent design theoryPseudoscience consists of statements, beliefs, or practices that claim to be both scientific and factual but are incompatible with the scientific method.
Pseudoscience ni kwa watu wote hata wewe unayepinga bila scientific proofpseudoscience ni utapeli nilikushangaa ulivyosema ni sayansi ya kileo, hii labda itumiwe na wale wafia dini ku implicate habari za mungu kupitia intelligent design theory