Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nashukuru kwa kukili kuwa wew ni mweupe katika sayansi ,
Hili nililitambua mapema.
ungejua sayansi imepita wapi mpaka kufikia leo majibu yote ungeyapata
 
Nashukuru kwa kukili kuwa wew ni mweupe katika sayansi ,
ungejua sayansi imepita wapi mpaka kufikia leo majibu yote ungeyapata
We ambaye ni mweusi kwenye sayansi imekuwaje umeshindwa kutumia sayansi kuthibitisha madai yako?
 
Atleast ungekuwa na basic za sayansi(realy science) tofauti na hivo huwez nielewa
Sijajua mna argue kuhusu nini, but as long as ni juu ya uwepo wa Mungu au Lah sidhani kama unahitaji yoyote ajue basics za sayansi ili aweze kuelewa Proof yako, Simply because Mungu siyo theory wala Hypothesis kwenye science

Unahitaji Mtu awe na basics za Mathematics kuelewa Pearson's correlation Algorithm kwasababu Pearson's correlation ni sehemu ya hesabu

We unachohitaji ni Scars awe na basics za Graphic design,kujua duka lipi ni la nguo
 
We ambaye ni mweusi kwenye sayansi imekuwaje umeshindwa kutumia sayansi kuthibitisha madai yako?
Logic hiz ndio alitumia aristotle kutuambia majani yakiangukia kwenye maji yanakuwa samaki.
Logic pekee haiwez kukusaidia
 
Atleast ungekuwa na basic za sayansi(realy science) tofauti na hivo huwez nielewa
Sijui una ubongo wa mende au namna gani vipi?

Nilikuambia unahitaji kutoa definition ya huyo mungu kwanza (kitu ambacho hujafanya) ili tuweze kuona kama anafit hata kwenye criteria za kisayansi ambazo umedai

Hakuna record yeyote ya utafiti uliowahi kufanyika kisayansi ukathibitisha mungu yupo. Kama sayansi yenyewi haikubali mungu yupo, hiyo sayansi unayotaka kuitumia kuthibitisha mungu wako yupo ni sayansi ya wapi na inafata kanuni gani?

Kama ni ile pseudoscience nilisha kutahadharisha mapema na ndio maana sikuoni tena kuiongelea hapa kwasababu ulishajua kitachoenda kutokea.
 
criteria zipi wakati umedeclare hujui?
nikurahisishie swali sayansi imeanza kufundishwa wap?
siwezi jadili hoja na mtu bila kujiridhisha ufaham wake
nitapotez mda.
Huyo Mungu atafiti kulingana na majibu yako ya swali hilo
Ukiwa sahihi tutajadili ukiwa wrong itabid ukasome tena
 
Huwez ukademand scientific proof wakati hata hujui science iko vip
pitia trusted resources urudi.
 
Mkuu ujue huyu jamaa haeleweki kama sigara kali kuna hitaji subira sana kufanya mjadala na mtu kama huyu

Convo yetu ilianza vizuri, nitatumia tripple L kuwakilisha jina lake

tripple L: mungu yupo

Scars: thibitishe

Tripple L: mimi ni seeker

Scars: kwa hiyo current status inasemaje umempata au bado?

Tripple L: Aah unajua hiyo ni hypothesis nimeanza kwa ku assume yupo ili niendelee kumtafiti

Scars: Kwa hiyo reseach yako haijakamilika kufikia conclusion ya jibu la uhakika?

Tripple L: Unaelewa maana ya hypothesis, hypothesis inakutaka uanze kwa kukubali kua kitu ni cha kweli

Scars: Kwa hiyo mtu akija kusema kitu cha uwongo kua kipo afu ukimuuliza kuhusu uthibitisho akasema hicho kitu kipo kwenye hypothesis na we utajuaje kua hicho kitu kipo kweli na kina chunguzwa na sio kwamba hakipo ni uwongo tu na hata katika hiyo hypothesis hakiwezi kuchunguzwa kwasababu ya kutokuwepo kwake?

Tumeishia hapo baada ya hapo ndo hizo habari za centre ya sayansi ya mwanzo zikaingia
 
Hahaha! omba tu msaada huo ndio uugwana kuliko kujifanya unajua
 
Kwanza kabla ya wote nikuhakikishie kua wote hapa tuko kwa ajili ya kupoteza muda, angalau ningekuona kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo ningesema una brand biashara yako.

Pili kuhusiana na hizo criteria, unafikiri unaweza kuzitaja kama sayansi ya kileo unayozungumzia ndo ile pseudoscience?

Tatu, kama tafsiri ya neno mungu na sifa zake zimekushinda kutaja, nini kinachofanya nisifikirie kutokutoa hizo criteria ni kutokana na kushindwa kuzijua?
 
mtu umeshindwa kujua hypothesis nin licha ya ku-copy wikipedia unaanza kuelezea kitu tofauti na ulicho-copy.
Hujui foundation ya science afu unademand scientific proof
Hujui jumla na kutoa unaka ufundishwe calculas
 
Nimekuambia foundation na fundamentals za sayansi(realy science) zinamajibu yote ya maswali yako
Ukinijibu sayansi imeanzia wap ni simple
 
mtu umeshindwa kujua hypothesis nin licha ya ku-copy wikipedia unaanza kuelezea kitu tofauti na ulicho-copy.
Hujui foundation ya science afu unademand scientific proof
Hujui jumla na kutoa unaka ufundishwe calculas
Kwa ubongo wa namna hii ulionao kila ujinga unawezekanika
 
Naona debate inapamba moto.Nimerudi kwa muda nikiomba wote ambao mpo upande niseme wenye hoja za kisayansi na hata kama wapo wanahistoria pia nao wanipe maelezo kidogo katika hili

Je sayansi au mtazamo wowote unaotoa habari za kuwepo kwa ulimwengu na wanadamu una maelezo yoyote kwamba kuna viumbe kama majini, misukule, na mizimu

Mind you,hivi viumbe vyote nilivyokutajia binafsi najua vipo. Si kwa masimulizi kutoka kwa mtu bali kwa kuona mwenyewe.Tumeonyeshwa kuna namna nyingi za kupata maarifa.Njia mojawapo ni kupitia uzoefu na linapokuja suala la hivyo nlivyotaja hapo,binafsi au wenzangu watakwambia kwamba viumbe hivi vipo

Sehemu pekee unaweza kuvipata viumbe hivi si katika ulimwengu huu ambao sayansi inaweza kuona, bali ni katika ulimwengu naweza sema usionekana kwa macho ya kisayansi wala vyovyote vile.

Nadhani maelezo yangu kidogo yanaeleza kwa uchache ila jambo langu kubwa ni kutaka kujua,je sayansi inatambua uwepo wa viumbe hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…